Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Mimi hapa umenikumbusha Mzee Alexander Ndeki alikuwa mkurugenzi wa elimu nilipoanza kazi ya ualimu baada ya kuhitimu UDSM 1994. Mzee alikuwa very principled. Nilipangiwa kazi kwenye shule ambayo nilifanyia BTP mwaka uliotangulia. Habari za Tambaza zilivuma sana kipindi hicho.
Shkamoo mwalimu
 
Nakumbuka nilisoma Moshi lakini stori za Puza tulizipata....nakumbuka walisema alimdanjisha Konda.

Alafu huwa najiuliza Mtoto wa sekondari tena O level anatoa wapi ubabe, maana nawaangalia hawa ninaowaona leo wakienda shuleni kwa udogo ule hubaki najiuliza maswali mengi sana.

Huku Arusha kuna Mwanafunzi alijiita Nyoka, jamaa alikuwa Mtu wa suspension.....kila Mwanafunzi alikuwa anajitahidi asiingie kwenye 18 za Nyoka...ingawa sikuwahi kushuhudia vurugu zake lakini nilijiunga na wenzangu kum hanya jamaa.
 
Miaka 27 baadae class mates wa Puza walitana kumkumbuka Puza pale Tambaza Secondary School

IMG-20210606-WA0020.jpg
 
Lulindi alitufundisha civics Tambaza,nadhani ndio mwaka lilipobadilishwa jina kutoka siasa kwenda civics,baada ya zile fujo walimu wengi walihamishwa,Lulindi akaletwa Kibasila sec.
Mzee wa uma mkate babake weka kituo..
 
Hivi huyu mwamba enzi hizo alikuwa anaishi kota za tanesco opp na drive in au ?

Ova
 
Back
Top Bottom