Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Puza Fala alikuwa anakaa hapo TANESCO Drive Inn, pia Ubungo National Housing.Hivi huyu mwamba enzi hizo alikuwa anaishi kota za tanesco opp na drive in au ?
Ova
Namjua basi alikuwa na wadogo zake gwantwa na gwakisaPuza Fala alikuwa anakaa hapo TANESCO Drive Inn, pia Ubungo National Housing.
Uzi umenikumbusha mbali sana.
Ila Tambaza kulikuwa na manunda kuliko Puza. Kuna siku Puza alichezea kichapo darasani kwetu mpaka akakimbia siwezi kusahau.
Yap. Ndiye yeye huyo.Namjua basi alikuwa na wadogo zake gwantwa na gwakisa
Jamaaa naona wamemkuza sana hakuwa mhuni kivilee basi
Ova
Haha basi nishamjuaYap. Ndiye yeye huyo.
Puza ni mtu mmoja alikuwa mwenye mood swings za ajabu sana.
Anaweza kukaa na wewe katulia saaana.
Hapo ndipo alipopata jina la "Puza Fala". Anakuwa kama Fala unaweza kusema huyu jamaa hamna lolote.
Sasa basi, ukimzingua na kumuharibu mood acharuke ndiyo utajua huyu Kamanda noma.
Ndiyo maana uliweza kumuona mtu wa kawaida, lakini yule jamaa ukimuangalia mikono yake tu ina sugu fulani za hatari sana.
mwenye picha ya huyu puza atutumie hapaWababe wa zamani
Maana zamani ubabe ulikuwa
Kama dili
Ova
Kuna nunda gani mwingine zaidi ya PUZA?Puza Fala alikuwa anakaa hapo TANESCO Drive Inn, pia Ubungo National Housing.
Uzi umenikumbusha mbali sana.
Ila Tambaza kulikuwa na manunda kuliko Puza. Kuna siku Puza alichezea kichapo darasani kwetu mpaka akakimbia siwezi kusahau.
Humu wazee kumbe.mpo.wengiHaa nakumbuka sana siku hio kituo cha fanya kilifungwa pale... dah mimi mwaka huo nilikua Azania kidato cha pili...dah
Huenda alikuwa na ugonjwa wa bipolar disorderYap. Ndiye yeye huyo.
Puza ni mtu mmoja alikuwa mwenye mood swings za ajabu sana.
Anaweza kukaa na wewe katulia saaana.
Hapo ndipo alipopata jina la "Puza Fala". Anakuwa kama Fala unaweza kusema huyu jamaa hamna lolote.
Sasa basi, ukimzingua na kumuharibu mood acharuke ndiyo utajua huyu Kamanda noma.
Ndiyo maana uliweza kumuona mtu wa kawaida, lakini yule jamaa ukimuangalia mikono yake tu ina sugu fulani za hatari sana.
nimecheka sana😂, kwamba alipandishwa cheoAlipigana na jamaa wa form three sio form one..aliepigwa alikuwa anaitwa Tafu. Baada ya hilo pambano Puza aapandishwa cheo hadi kuwa Captain
Kama ulikuwa bado unasoma kipindi Puza anasoma basi ww si mkubwa Sana kiumri.Yap. Ndiye yeye huyo.
Puza ni mtu mmoja alikuwa mwenye mood swings za ajabu sana.
Anaweza kukaa na wewe katulia saaana.
Hapo ndipo alipopata jina la "Puza Fala". Anakuwa kama Fala unaweza kusema huyu jamaa hamna lolote.
Sasa basi, ukimzingua na kumuharibu mood acharuke ndiyo utajua huyu Kamanda noma.
Ndiyo maana uliweza kumuona mtu wa kawaida, lakini yule jamaa ukimuangalia mikono yake tu ina sugu fulani za hatari sana.
Umenikumbusha Mr WAJIMIRA..NI MAREHEMUHa ha ha kitambo Sana daah...nakumbuka uuzwaji wa kiwanja cha mpira kutoka Tambaza kwenda muhimbili Primaly..mkaguzi wa Elimu sec Alexzander Ndeki akaja mkutanoni akamwaga data...,namkumbuka,Puza,Sagapower,Vimto..... Makamu WA shule Mr Wajimira,yule mzee aliyekuwa mkuu WA shule jina nimemsahau....baada ya fujo na Azania 1994,form wote tukasimamishwa shule mwaka nzima...mwaka uliofuata tukaperekwa shule za mikoani,...form one yetu ya 1993 ilikuwa na watu wakorofi Sana...
😂aiseePuza au Jackson Songambele alisoma Ubongo NHC shule ya Msingi na Kisha baadaye akaenda Tambaza. Akiwa Tambaza alikuwa Mwaka Mmoja Nyuma yangu Mimi Nikiwa Azania. Puza alikiwa Ni Mtoto Mtukutu sana, a Bully na Mvuta Bangi. Hakujiua kwa Kujjnyonga bali alijiua kwa Sumu! Nilikuwa miomgoni wa Wanafunzi waliomjua Puza kwa Karibu, Ila 1991 Nilibadilisha Mwelekeo wa Maisha kabisa. Kwa Psychology niliyoipata Baadaye ni kuwa Watoto wengi wanasoma Mashuleni, Huku wakilelewa na Ndugu, au Jamaaa na sio Wazazi, Na kwa Kukosa Upendo wa wazazi au Kunyayaswa sana, Wanaishia Kuwa watu wa Kutafuta attention kwa njia Mbalimbali. Ulimwona Utamwona Gangwe, Mtukutu etc lakini moyoni anavuja Damu kwa Mateso na Kutokuona ana haja gani ya Kuishi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Puza Ukweli ni Kuwa alikuwa anakabiliwa na Kesi nadhani za Mauaji. Nakumbuka wakati Fulani tulishaenda Tanganyika Library Puza akataka Kumwongelesha binti mmoja wa Zanaki yule binti akamjibu Jeuri basi Puza anamchapa Bakora mbele ya Watunza Maktaba kwa madai ati yule binti ni mtovu wa nidhamu
Umri mkubwa ni kuanzia mingapi ? AsanteKama ulikuwa bado unasoma kipindi Puza anasoma basi ww si mkubwa Sana kiumri.
Mwenye picha ya Gwantwa na Gwakisa atupieNamjua basi alikuwa na wadogo zake gwantwa na gwakisa
Jamaaa naona wamemkuza sana hakuwa mhuni kivilee basi
Ova
Mental illness ina tabia ya kuwa positive sana au negative sana. Inawezekana kwenye huo utukutu wake ndio ilikuwa call for healp na bahati mbaya watu hawakuelewa....kwa mkwara tu nakumbuka siku moja alikua anampiga biti demu wa jangwani eti akajichanja na wembe halafu akailamba damu yake.... jamaa alikua nunda sana...sasa sijui hiyo roho ya uoga ya kujiua ilikujaje aisee
I agree. It was a psychiatric case unfortunately nobody was there to help. He had very deep issues in his brainMental illness ina tabia ya kuwa positive sana au negative sana. Inawezekana kwenye huo utukutu wake ndio ilikuwa call for healp na bahati mbaya watu hawakuelewa
Point zote ulizoziongea ni za kweli kabisa. Hiki ndivyo ilivyokua.1. Puza hakujinyonga but alikunywa dawa (sifahamu kama kunywa dawa nyingi ni kujinyonga).
2. Jamaa, hakuwa na murder case yoyote, he was mtukutu tu kama ilivyokuwa watukutu wengine pale shule.
3. Kama ulivyosema mwenyewe, hakuna anayefahamu hadi sasa ni sababu zipi zilizopelekea jamaa kujiua kwa kunywa na zile dawa (wengine walidai kuwa alipima akakuta ameathirika hivyo hakupenda kushuhudia yale mathila) - maana aliamka akafagia uwanja na kumwambia mother wake kuwa nasafisha/ fagia uwanja maana kesho rafiki zangu watafika hapa kupiga story and ndio akajiua.