Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Shkamoo mwalimu
 
Nakumbuka nilisoma Moshi lakini stori za Puza tulizipata....nakumbuka walisema alimdanjisha Konda.

Alafu huwa najiuliza Mtoto wa sekondari tena O level anatoa wapi ubabe, maana nawaangalia hawa ninaowaona leo wakienda shuleni kwa udogo ule hubaki najiuliza maswali mengi sana.

Huku Arusha kuna Mwanafunzi alijiita Nyoka, jamaa alikuwa Mtu wa suspension.....kila Mwanafunzi alikuwa anajitahidi asiingie kwenye 18 za Nyoka...ingawa sikuwahi kushuhudia vurugu zake lakini nilijiunga na wenzangu kum hanya jamaa.
 
Lulindi alitufundisha civics Tambaza,nadhani ndio mwaka lilipobadilishwa jina kutoka siasa kwenda civics,baada ya zile fujo walimu wengi walihamishwa,Lulindi akaletwa Kibasila sec.
Mzee wa uma mkate babake weka kituo..
 
Hivi huyu mwamba enzi hizo alikuwa anaishi kota za tanesco opp na drive in au ?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…