Kwanini Puza wa Tambaza alijiua?

Hivi huyu mwamba enzi hizo alikuwa anaishi kota za tanesco opp na drive in au ?

Ova
Puza Fala alikuwa anakaa hapo TANESCO Drive Inn, pia Ubungo National Housing.

Uzi umenikumbusha mbali sana.

Ila Tambaza kulikuwa na manunda kuliko Puza. Kuna siku Puza alichezea kichapo darasani kwetu mpaka akakimbia siwezi kusahau.
 
Namjua basi alikuwa na wadogo zake gwantwa na gwakisa
Jamaaa naona wamemkuza sana hakuwa mhuni kivilee basi

Ova
 
Namjua basi alikuwa na wadogo zake gwantwa na gwakisa
Jamaaa naona wamemkuza sana hakuwa mhuni kivilee basi

Ova
Yap. Ndiye yeye huyo.

Puza ni mtu mmoja alikuwa mwenye mood swings za ajabu sana.

Anaweza kukaa na wewe katulia saaana.

Hapo ndipo alipopata jina la "Puza Fala". Anakuwa kama Fala unaweza kusema huyu jamaa hamna lolote.

Sasa basi, ukimzingua na kumuharibu mood acharuke ndiyo utajua huyu Kamanda noma.

Ndiyo maana uliweza kumuona mtu wa kawaida, lakini yule jamaa ukimuangalia mikono yake tu ina sugu fulani za hatari sana.
 
Haha basi nishamjua

Ova
 
Puza Fala alikuwa anakaa hapo TANESCO Drive Inn, pia Ubungo National Housing.

Uzi umenikumbusha mbali sana.

Ila Tambaza kulikuwa na manunda kuliko Puza. Kuna siku Puza alichezea kichapo darasani kwetu mpaka akakimbia siwezi kusahau.
Kuna nunda gani mwingine zaidi ya PUZA?
 
Huenda alikuwa na ugonjwa wa bipolar disorder
 
Alipigana na jamaa wa form three sio form one..aliepigwa alikuwa anaitwa Tafu. Baada ya hilo pambano Puza aapandishwa cheo hadi kuwa Captain
nimecheka sana😂, kwamba alipandishwa cheo
 
Kama ulikuwa bado unasoma kipindi Puza anasoma basi ww si mkubwa Sana kiumri.
 
Umenikumbusha Mr WAJIMIRA..NI MAREHEMU
 
😂aisee
 
....kwa mkwara tu nakumbuka siku moja alikua anampiga biti demu wa jangwani eti akajichanja na wembe halafu akailamba damu yake.... jamaa alikua nunda sana...sasa sijui hiyo roho ya uoga ya kujiua ilikujaje aisee
Mental illness ina tabia ya kuwa positive sana au negative sana. Inawezekana kwenye huo utukutu wake ndio ilikuwa call for healp na bahati mbaya watu hawakuelewa
 
Mental illness ina tabia ya kuwa positive sana au negative sana. Inawezekana kwenye huo utukutu wake ndio ilikuwa call for healp na bahati mbaya watu hawakuelewa
I agree. It was a psychiatric case unfortunately nobody was there to help. He had very deep issues in his brain
 
Point zote ulizoziongea ni za kweli kabisa. Hiki ndivyo ilivyokua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…