Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn bado kuna chawa wake walikuwa wanamsifu na kumpongeza.Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Hakuna sehemu watu wamelazimisha nchi iwe na lockdown jaribu kutumia viungo vyenu vya kufikiri na kuwaza.Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Mkuu mwendazake alikuwa sahihi hizo chanjo zimeanza kuua watu badala ya kuwa kinga hapo jirani kwa hao waitikia bee ya mabeberu waliochanjwa wameanza kuugua na wengine kufa , kama chanjo kachanjeni punda sio watu,hata kunipe bilioni sichanji,hii AstraZeneca ni hatari kwa afya ya watu lakini sababu imetoka kwa mabeberu basi kila mjinga anashabikia,ingekuwa hayo madhara yanatokana na kupiga nyungutungesikia dunia nzima imehamia Tanzania na kutulaani sana, sichanjwi ng'o kama siku yangu imefika basi nitaenda kwa mola wangu lakini siokufanywa mbuzi wa majaribio. Hapo Kenya sasa wameanza kujiju na kutambua kwamba wanasiasa wanatumia ugonjwa wa COVID-19 kupata pesa za mikopo kutokakwa mabeberu na ndio maana kila siku unasikia lockdown,chanjo mara barakoa mara sijui nini. Mama anataka kuturudisha Misri!Wasalaam wana jamvi!
Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!
Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?
Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?
Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?
Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?
Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?
Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?
Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!
Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?
Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?
Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?
Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wasalaam!
Wanataka waanze kumshauri na huyu ili wampoteze mazima kama walivyo mpoteza jiweRais wetu anajua kabisa Sayansi ni Sayansi na sio Siasa, lazima ashauriwe na Wanasayansi sio Lumumba
Ndiyo maana chawa wengi wa lumumba wanaanza chokochokoAta onekana ana enda kinyume na the late pilato
Mkuu punguza jazba
Kama Rais hajui msimamo wa nchi kuhusu Corona sasa kwanini amekuwa Rais?
Sasa kutovaa barakoa ni msimamo gani?
Hakuna aliyemkana ndio maana inaundwa tume ya wataalamu!Leo hii mshaanza kumbana Magu kama vile wasaliti walivyo mkana yesu kristu.
Sukuma gang hawajaridhika maana hawajapewa kanafasi ka kupelekea umbeyaWewe tulia Rais ashauriwe vyema kitaalamu
Sasa hivi kina Gwajima wamesahaulika ghafla utadhani mvua za vuliCha umuhumu tudungwe Chanjo,Mama anastahili Pongezi kwa kutujali Watanzania
Uzuri wa corona inawatafuna watu wenye kushupaza shingo kama nyinyi ndiyo inaondoka nao .Unayeandika hivi, usikute hujawahi hata kuambukizwa hiyo Corona, na pengine unaposema Magufuli hakuwa Sawa katika kushughurikia Corona ukilinganisha na nchi gani ambao kwao wameshughurikia vizuri na Corona kwao haipo mpaka Leo ni Nani na nchi gani??
Hata suala la kuomgezewa muda wa kiutswala wa mwendazake aliamza kuwatumia akina sukuma baadae wakaja wanyonge ubongo sifuri kuwa wanaandamana kuonyesha uungwaji mkono wa hao wabunge. Mlizoea kuonea umma wa WaTz lakini Mungu hadhihakiwi. Umeambiwa tiba ya covid 19 ni lockdown? Sasa tunaimba wimbo mmoja kwa style moja. La mwendazake sasa ni historia usitarajie itajirudia. Tumejifunza mengi sana ila Mungu hadhihakiwi. Ungeuguliwa na mtu akapona au wewe binafsi usingeandika haya uliyoandika kama ushawishi kwa wengine.Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?
Wale walioigeuza Wazara ya Afya kuwa ya NyunguSasa hivi kina Gwajima wamesahaulika ghafla utadhani mvua za vuli
Hata usipo choma wewe nani anakujali?You Said it All. muda kidogo tu ndio tunako elekea ila mimi sichomi
Sukuma gangYou Said it All. muda kidogo tu ndio tunako elekea ila mimi sichomi
Mnaishi vizuri kwa vigezo gani?Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?
Pipa na funiko mnasifiana.Naam
Nilivyoona id yako nikajua wewe ni mkushi mwenzetu, kumbe ni opposite.Watu kama Magufuli ndio wanaosababisha
Hiari? Unaweza safiri nchi za nje bila chanjo ya yellow fever? Mbona hamkuipinga.Chanjo sio lazima ni hiari ya mtu kudungwa ama kutodungwa,yeye mama anaonekana anataka zilitwe ila sasa asitumie mgongo wa kamati,tunajua hilo ndio lengo lake sasa yeye alete tu asizunguke zunguke zikija watakaochoma watachoma basi tutakuwa tunaelewa na wazungu maisha yaendelee.