UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Hivyo vifo ndio vinatangazwa sana na ndio vinavyofanya watu waogope corona na kuona ni ugonjwa hatari na ndio maana vinatangazwa sana kuliko wanaoumwa na kupona japo ndio wengi. Sasa kama wenzetu huko wenye huduma bora za afya na kufuata tahadhari zote wengine hadi lockdown ila bado unasikia maelefu ya watu wanakufa kwa siku ndio maana ikaonekana afrika tutaokota maiti barabarani,kuna muda hadi kulitokea ule uvumi wa kwamba hospitali zimezidiwa wagonjwa Tz,ila sasa hivi inaonekana tatizo hatuna takwimu story za maiti barabarani na hospitali kuzidiwa wagonjwa hazipo tena.Na Haya ndio Rais anapinga..... Unadai wengine wanakufa ila wewe hauna takwimu!! Sasa ndio nini hiko?
Then lockdown hakuna aliyeitaka ile ilikua stage ya mwisho ya kulimit contamination.... Na kazi yake ni kucomtrol maambukizi so hta wakifa watu wengi kuliko TZ then fahamu wangekufa mara 4 yake bila lockdown.
Then unachopaswa kujua kwa kila takwimu ya vifo unayosikia huko nje ni 5 percent ya wote waliougua!! Hzi takwimu hamzijui mmekalia kusikia vifo tu na kushabikia kwamba mko better kuliko mataifa mengine yenye "lockdown na madawa ya kila aina".