#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

anajulia wapi huyo kichwa kimejaa utomvu!!!!!
Watu wanalalamika Corona Corona Ukiwauliza kwenye Magroup yao ya whatsapp Wamekufa watu wangapi wanabaki kutumbua macho na Kukomalia Lock down, Hawajui kwamba sio kila Njia zinazotumika Kutatua matatizo Dunia ya Kwanza pia Zinafaa Kutumika Dunia ya tatu. Hiyo Corona Ingekua kama tunavyoaminishwa nadhani Mwendokasi zingekua Empty muda huu.
 
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.

Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.

Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?

Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
wewe ni mnafiki..sababu unajua hakuna nchi iliyoweza kudhibiti corona haya kwa protocal za curfew na lockdown..kikubwa watu wanaandamana wapewe uhuru maisha yao yarudi kama zamani sasa unavosema magufuli kachemka unakua kama hujielewi..
 
Matusi yako wapi? Yaani kwakua sijaugua corona ndio eti corona haipo? Hvi reasoning zenu huwa mnaacha wapi? Na ukute ni Professor au daktari wa afya unaongea hivi??

Ni hivi Corona ipo..... Nyumba za ibada tumezika wengi sana tu kwa hili tatizo. Mapadri umeona wamechukuliwa zaidi ya 25 then unakuja kuniuliza eti mbona sipigi nyungu/barakoa na sijaugua??

Siku ikimpata mama yako akagalagala chini ndio utaelewa anachosema Rais.
Simple sample space, Kwenye Magroup yako ya Whatsapp(Kama Unayo) Wamekufa Wangapi?
 
Anataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
Sio lazima kila mtu avae barakoa inawezekana nae ana matatizo ya kiafya(kama marehemu)yanayomfanya asivae barakoa
 
Samia ashaonesha dalili ya kuyumba so far.
Aagize hiyo chanjo ajichome yeye na wafuasi wake
 
Hiyo ni wave mbona huelewi..... Ukisikia third wave ndio iliyopita hapa Tz mwezi december ika peak February. So waliopona ewaa waliokufa walienda na nmeshaeleza humu kwamba Baba yangu mzazi almanusura afe kama sio kumpeleka hospital ya kibeberu baada za serikali kudai "ana homa ya kawaida tu".

Wote tunajua hata influenza za kawaida tu zinawaua wazungu kuliko hata Corona.... So sio jambo jipya kwa mafua hatari kma swine au bird flu kuua sana nchi za magharibi. Otherwise wangekufa wengi zaidi if wasinge weka sheria kma za lockdown au wasingekua na medical facility nzuri.

Tanzania waliugua wengi na sisi pia 5% walifariki tofauti ni kwamba hatutangazi takwimu. Ila mie mtaani tu na ukoo wangu, peers,friends, kulikua na misiba multiple mwezi February. Hili hta ww unafahamu ni WAVE

Kama mngetaka kucompare na wazungu kwanini hujiulizi Ukimwi au malaria inatuua sisi kuliko wao? Ama Miili yetu ina nguvu tu kwenye corona na magonjwa mengine haifui dafu?

Twende kwa hoja
Tukisema wazungu wanakufa sana kwa corona mnatuambia sisi hatuna takwimu kwa maana tunaona wazungu wanakufa sana(na hapo wameweka hadi lockdown pamoja na huduma bora za afya) kuliko sisi ni kwa sababu wenzetu wana takwimu sisi hatuna. Sasa kama issue ni takwimu basi tungeona hali mbaya zaidi kwetu kama ilivyotazamiwa kwa kuwa sisi hatuna huduma bora za afya na ukizingatia hatuchukui tahadhari.

Hoja yangu ilikuwa hiyo.

Sasa hayo ya sie kufa sana kwa ukimwi kuliko corona na wazungu kufa hata kwa mafua ndio maana wanakufa sana kwa corona hayo ndio ungeyaeleza wewe,maana katika moja ya utetezi wa kwanini afrika hatujaathirika sana corona ni kwamba kuna vijana wengi na vijana huwa na kinga imara kuliko wazee.
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Usishangazwe na Raisi wa sasa, bali kwanza ungeshangazwa na raisi aliyepita na kifo chake kwa ujumla. Swala la Covid-19 ni swala la kiafya lakini lina yumbisha uchumi wa nchi kama mawimbi yanavyo yumbisha ngalawa za uvuvi. Raisi Samia hataki kukurupuka kwa kufuata msimamo uleule wa mwanzo kwani tulimpoteza maalim Seif, tukampoteza Eng. Kijazi, na tumempoteza raisi wetu Magufuli na wengine wengi tu ambao vifo vyao vimetangazwa au havijatangazwa vimesababishwa na nini, Makamo wa raisi Dr. Mapango alikuwa mahututi Dr. Mwandosya naye alikuwa hoi. Hivyo ni uungwana na busara kuwajumuisha wataalamu ili waje na report ambayo itaweza kutusaidia, mbona raisi Magufuli aliunda kamati ya madini kuna kamati iliyoundwa katika kushughulikia na uchimbwaji wa dhahabu, kuna kamati ya katiba mpya n.k. Hivyo kama kaunda kamati ya kushughulikia janga hili la Covid-19 na tutakuwa na sehemu ya kuanzia kama nchi katika dunia hii.
Nia na dhumuni ya chanjo ni kufikia "herd immunity" kwenye jamii yetu kwa haraka, hata hivyo tunaweza kufikia kiwango hicho naturaly lakini itachukua muda. Gharama za upimaji ni kubwa, hakuna tiba inayotambulika kimataifa tunataka kukimbilia kwenye chanjo, halafu hizo chanjo hazina uhakika wa ufanyaji kazi wake, pia hatujui madhara yake kwa kipindi kifupi, kipindi cha wastani na kwa muda mrefu.
Kama nchi hapa tulipofika na janga hili si pabaya ukilinganisha na wenzetu katika nchi mbalimbali, pamoja na kuwa hatujafuata protocols za WHO lakini tunashukuru hali yetu ya Covid-19 siyo kama walivyotuaminisha kuwa tutakufa wengi sana. Kwa imani yangu huu ugonjwa si wa asili bali ni ugonjwa uliyotengenezwa kwa sababu na malengo wanayoyajua wao na sisi inavyo onyesha siyo prime target. Hivyo basi tumuache raisi kwa imani yake kwa kuwa yeye ni mama hivyo anajua uchungu wa mwana.
Kwa jina la jamhuri ya muungano.
 
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Hao wanaokufa tz uliwapima wewe ? Ni wangapi?
 
Kumekucha!

Yupo sahihi kabisa kwa sababu ile kamati ya mwanzo iliongozwa na PM Majaliwa na Ummy Mwalimu ilikuwa ni ya kisiasa siyo ya kitaalamu na haijawahi kuvunjwa!

Ndio maana ukaona Jaffo amejiingiza na nyungu zake.
Hahaha...."Ya kisiasa sio ya kitaalamu"
Mzee unabeza Kamati ya shujaa!?!?
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Hata km alikuwa makamu wa Rais, nyumba itabaki kuwa na baba mmoja tu ambaye ndiye mlinzi na kiongozi wa familia.
Lazima kufahamu kiongozi wa juu wa taasisi/ofisi yoyote ile ikiwemo taasisi ya familia ndiye mbeba maono mkuu na mmiliki wa dira ya taasisi/ofisi hivyo itategemea na mikakati yake ya kuhakikisha malengo yanatimia kwa kuzingatia/bilankuathiri misingi ya taasisi husika ikiwemo ushirikishaji wa wanataasisi/ofisi/jamii katika kufikia maono hayo.

Hapa ndipo ukifanya shingo ngumu, mjuaji,usiyeshaurika, wapo wenye ujasiri watakaokupinga hadharani wakati huo huo, haswa walio mbali nawe (kisiasa wanaitwa wapinzani wa ndani na wa nje, na msamiati mpya ulioibuka huitwa WASALITI)

Wapo watakao kaa kimya wajioonee unapowapeleka, wapo watakaokuunga mkono wakiamini kwa dhati yote unayoamini. Wapo ambao hawa kwa Afrika na hususan nchi yetu ndio kundi kubwa watakaokunafikia kwa mapambiao ya sifa ili kulinda vitumbua vyao na kuiacha taasisi/ofisi/jamii kuangamia...

Na ndio hawa leo Wamekua wa kwaza kuibuka na kuonesha hawakukubaliana na mambo yalivyokwenda awamu ya tano ilhali walikuwa sehemu ya serikali.
 
Ninyi ndio mlioi Hijack ajenda tengezeni chanjo halafu ndio tungee
Uzuri ni kwamba, hiyo chanjo bado haizuii corona, ubaya ni kwamba bado unaweza kuambukizwa corona hata baada ya chanjo.

So miili yetu tayari imetengeneza kinga. So hatuhitaji chanjo sisi wakush
 
Wakush my foot.... Mkush gani ww una akili ndogo hivi? Rwanda/Watutsi na Ethiopia wote hao wamekubali Chanjo ndio sembuse mkush wa Runzewe?

Mbona Yellow fever ndio ulidungwa ili uweze kufika Tanzania? Au hyo haikutoka kwa beberu?
Kumbe najibishana na tabulalasa. Ukush sio uraia, ukush ni utamaduni, ukush ni mtazamo.

Kwan wao jirani wakikubali kitu au chanjo ni lazima na sisi tukubali??
Kwann swala la chanjo linalazimishwa??
Ugonjwa gani ambao ni pandemic, serikali ilazimishe watu wachanjwe??

Watu wenyewe wangekimbilia chanjo. Bila hata kulazimishwa.

Hili swala la covid sio la kulikimbilia ili uonekane unajali, ni vyema kwanza watu wakajiridhisha kwanza.
 
Wasalaam wana jamvi!

Nimeshangazwa sana na Mh Rais kusema ataunda kamati kuhusu swala la Corona ili baadae tuwe na msimamo kuhusu Corona!

Mimi kwenye hili nimejiuliza maswali hivi ni kweli Tanzania hatukuwa na msimamo kuhusu Corona? Huyu Rais si alikuwa Makamu wa Rais na Rais wake alishasema wazi kuwa Tanzania hakuna Corona na kama ipo ni ndogo sana?

Hii kamati anayounda anataka imwambie nini kipya asichokijua? Anataka aanze kutoa takwimu za Corona sasa anataka kamati imshauri?

Anataka aweke watu Lockdown sasa anataka kamati imshauri?

Anataka kulazimisha watu kuvaa barakoa sasa anataka kama imshauri?

Anataka kupokea chanjo ya Astrazeneca sasa anataka kamati imshauri?

Rais anaogopa nini kusema alikuwa hakubaliani na jinsi mtangulizi wake alivyo kuwa anaikabili Corona? Rais anaogopa nini kusema wamejiandaa kupokea chanjo ya AstraZeneca hivi karibuni?

Sidhani kama Rais anatakiwa kujificha nyuma ya kamati kwenye swala kama hili ambalo liko wazi!

Kuna kitu gani hajui ambacho anataka kamati imwambie?

Kwanini anajificha nyuma ya kamati anashindwa nini kuwambia watanzania wajiandae kudungwa Astrazeneca?

Kama Tanzania hatuna msimamo kwanini yeye havai barakoa? Hajui huo nao ni msimamo? Anataka ashauriwe nini?

Kwanini Tusiamini ana ajenda zake mkononi anataka azipitishe nyuma ya kamati ili watanzania waamini ni msimamo wa kamati kumbe ni msimamo wake?

Wasalaam!
Team kanda ya ziwa mmegeuka kuwa wapinzani hahahahahaaa,kulia na kucheka vyote ni kelele tu kwa Mama Samia bora mnyamaze zama zenu zimeisha tr 17 machi.
 
Mpaka sasa Huna Chanjo, nyungu hukupiga, lockdown hujawekwa, huvai barakoa, lakini cha ajabu hujaambukizwa!!

Unatoa matusi ya nini, ili uwekwe lockdown, au ulazimishwe kuvaa barako, ama upigishwe nyungu, au Chanjo??

Mbona siku zote hizo hujafanya?
Mkuu kuna watu wao ni mashabiki wa kila kitu kikifanywa na mataifa makubwa, bila hata kujipa muda kidogo kutafakari na kusoma hapo kidogo.

Wao ni kushabikia tu mambo.

Yaani kuna watu wanaishi kwenye dunia ya kuamuliwa kila kitu ktk maisha yao.
So sad
 
Chanjo sio hiari sababu utashindwa ku access nchi zingine kma hauna vaccine so wanadiplomasia, Wafanyabiashara n.k watakua affected.

Nyie mna NEMC mna TFDA and mkemia mkuu etc mnashindwaje kutengeneza chanjo yenu or at least kuomba patent mtengeneze copy yake!! Kwanini kulialia tu?

Anyway kama chanjo ikija haiwezi kufanyiwa vipimo na clinical trials kwa sample ndogo na kutoa conclusion kabla haijawa mass distributed?

Hvi watanzania ni Elimu au exposure ndio shida? Afu kituko ARV na Yellow Fever mnatumia!! Kwa beberu huyo huyo. Hata huu upuuzi unapost kwa simu ya beberu ila hauogopi kuwa ina sumu ya kukuua?
Kwan hizi chanjo zimepitia hatua zote hizo, km sample trials, na efficanty analysis, results interpretation n.k

Hayo yote kwwnye hizi chanjo hayapo, sasa wewe unasema nini??
 
mimi naona swala la corona ipuuziwe kama zamani, maana italeta tu pressure kwa jamii na izo chanjo hazieleweki kila kukicha wanabadilikabadilika kama kinyonga ,wanao jiita watalaamu wenyewe wanachanganyikiwa,mfano iyo chanjo astro sijui nn, wanasema tena etii haifai kwa watu wenye umri chini ya 30yrs kwasababu inagandisha damu(blood clot)kwaiyo ndugu zanguni msimamo wetu ni ule ule,"HAKUNA CORONA WALA MKWE WAKE CORONA"imeisha iyoo.
 
Acha ujinga mzazi wangu aliugua manusura afariki mwezi wa pili..... My two best friends waliugua sana almost wanitoke. Then unakuja mpuuzi mmoja unaleta kejeli? Hvi unajua ilitutoka shingapi wana familia kumuokoa mzazi wetu? Alikua anapumulia ICU...... Tena aliponea hospitali ya kibeberu!!

Usiongee mambo usiyojua
Unaongea kwa uchungu kwa kuwa wazazi wao waliugua covid,. Vp ambayo wamepoteza ndugu zao kutokana na madhara ya chanjo ambayo hazijamaliza kufanyia utafit?

Mkuu usiangalie wazaz wako au ndugu zako. Angalia athari za kiujumla kwa taifa na jamii yetu.
 
Back
Top Bottom