MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Watu wanalalamika Corona Corona Ukiwauliza kwenye Magroup yao ya whatsapp Wamekufa watu wangapi wanabaki kutumbua macho na Kukomalia Lock down, Hawajui kwamba sio kila Njia zinazotumika Kutatua matatizo Dunia ya Kwanza pia Zinafaa Kutumika Dunia ya tatu. Hiyo Corona Ingekua kama tunavyoaminishwa nadhani Mwendokasi zingekua Empty muda huu.anajulia wapi huyo kichwa kimejaa utomvu!!!!!