Hadi sasa Mama hata barakoa tu havai wala hajaigusia sasa sijui haogopi nae kuondolewa na corona kama mwenzie?Samia anaweza kuwa mjinga lakini ni wazi Magufuli alishughulika na Covid kilimbukeni kabisa (Primitive) ndiyo maana ilimuondoa, Naamini mama samia atashughulika nalo Kisayansi.
Poa tu,akataye piga atapiga asiyepiga asipigeChanjo ni hiyari zije tu!
Yaani lazima niwe nimeugua corona ndio nione madhaifu ya Magufuli? Una akili timamu kweli?Unayeandika hivi, usikute hujawahi hata kuambukizwa hiyo Corona, na pengine unaposema Magufuli hakuwa Sawa katika kushughurikia Corona ukilinganisha na nchi gani ambao kwao wameshughurikia vizuri na Corona kwao haipo mpaka Leo ni Nani na nchi gani??
... who are you?Mi na familia yangu hatutachoma chanjo!
Hapo ndo nakumbuka magu
Hakuna anaetaka lockdown, tatizo ni kukataa uwepo wa corona eti mungu katusaidia, huyo mungu alishindws nini kumsaidia magufuli aliuwawe na corona?Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Kwa maelezo yakoKwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.
Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.
Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?
Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Rais wetu anajua kabisa Sayansi ni Sayansi na sio Siasa, lazima ashauriwe na Wanasayansi sio Lumumba
Na Haya ndio Rais anapinga..... Unadai wengine wanakufa ila wewe hauna takwimu!! Sasa ndio nini hiko?Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Ila chanjo za pepopunda, polio mlichomwa! Kweli ujinga kipajiMi na familia yangu hatutachoma chanjo!
Hapo ndo nakumbuka magu
Hajui takwimu maana mkemia alizificha na kukataza wasitangaze. Sasa ni kosa kufanya tafiti ya kisayansi? Hvi nchi hii Mkemia alikia anaipeleka wapi?Anataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
Takwimu za huo ugonjwa hakuna anayejua..kwa hio watu hawaez kuchukua tahazar bila kujua takwim.mama yuko sahihi lazima tujue hLi yetuSSH anaropoka mambo ambayo hana uwezo nayo, anajaribu kujionesha muelevu kumbe ndio anaonyesha ujinga wake, mambo anayo ongea unaweza pata mshangao, hivi unaweza sema Tz hatukuwa na stand dhidi ya Corona.
Wanaompigia vigelegele pia wanamuona boya maana wamefanikiwa kumchota akili kwa vigelegele tu na yeye anacheza ngoma yao.
Stand ya Tanzania ni kwamba nchi haikuwa na corona,na kama ipo basi ni ndogo sana,SSH anaropoka mambo ambayo hana uwezo nayo, anajaribu kujionesha muelevu kumbe ndio anaonyesha ujinga wake, mambo anayo ongea unaweza pata mshangao, hivi unaweza sema Tz hatukuwa na stand dhidi ya Corona.
Wanaompigia vigelegele pia wanamuona boya maana wamefanikiwa kumchota akili kwa vigelegele tu na yeye anacheza ngoma yao.
Magufuli alikuwa anakosolewa humu ni haki zao watu kukosoa wanapoona kuna makosa hivyo na Samia pia lazima nae akosolewe ukoasoaji haujaishia kwa Jiwe tu. Sasa Mama samia kwa kuanza kwa yeye kuvaa barakoa tu na kusisitiza na raia wavae barakoa ni jambo lenye kuhitaji ushauri wa kutoka kwenye kamati? Hoja ni kwamba anajificha nyuma ya kamati kwa kumuogopa nani wakati mwanzo tulishakuwa tumezuia mikusanyiko,kusisitiza kunawa mikono na kuvaa barakoa,level seat n.k hayo yote yalikuwa ni hatua za kitalaamua za kushughulika na corona ila tukaacha sasa hayo nayo ni ya kusubiri ushauri wa kamati wakati tulishayafanyaga huko mwanzoni?waTanzania mlishaanza kuwa masugu kwa kutawaliwa kinguvunguvu,
Magu akienda na kujiamulia kivyakevyake mkamuita dictator ,huyu nae akiita watu kushauriana nao na kuunda ushirika katika maamuzi mnamuona hana anachokijua.
Mna tatizo la mzoea vya kunyonga ambavyo vilikuwa vimeanza kutoa mizizi na miche .Ila mipango ya Mungu hakuna anaeijua.
Ila waTZ vichwa vigumu sana..... Ukiona Kenya wamezidiwa ujue bila protocols tatizo lingekua mara 3 zaidi. Control maana yake ni kupunguza madhara ya kitu sio kustopisha coz ni ngumu kufuatilia compliance ya kila mtu.Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?