#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

#COVID19 Kwanini Rais ameamua kujificha nyuma ya kamati ya Corona? Anaogopa nini kuwambia Watanzania wajiandae na AstraZeneca? Anaogopa nini?

Samia anaweza kuwa mjinga lakini ni wazi Magufuli alishughulika na Covid kilimbukeni kabisa (Primitive) ndiyo maana ilimuondoa, Naamini mama samia atashughulika nalo Kisayansi.
Hadi sasa Mama hata barakoa tu havai wala hajaigusia sasa sijui haogopi nae kuondolewa na corona kama mwenzie?
 
Unayeandika hivi, usikute hujawahi hata kuambukizwa hiyo Corona, na pengine unaposema Magufuli hakuwa Sawa katika kushughurikia Corona ukilinganisha na nchi gani ambao kwao wameshughurikia vizuri na Corona kwao haipo mpaka Leo ni Nani na nchi gani??
Yaani lazima niwe nimeugua corona ndio nione madhaifu ya Magufuli? Una akili timamu kweli?

Jambo la pili, huwezi kujifanya kichaa kwamba Tanzania haina corona wakati Dunia nzima ina corona et imungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia magufuli corona isimuue?
 
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Hakuna anaetaka lockdown, tatizo ni kukataa uwepo wa corona eti mungu katusaidia, huyo mungu alishindws nini kumsaidia magufuli aliuwawe na corona?

Japan, korea kusini na nchi nyingi hawana lockdown ila wanahimizana kuchukua tahadhari. Sisi hapa kiongozi anakataa ugonjwa huo haupo kwa maksudi tu sasa ugonjwa huo umemuua.
 
Kwenye suala la Corona lazima tukubali Magufuli alichemka big time.

Hakuna mtu mwenye akili timamu angekubaliana na Magufuli kwa jinsi alivyoishughulikia korona.

Huwezi kuwa dogma ukajifanya Tanzania haina korona wakati Dunia nzima ina korona eti mungu ametusaidia, huyo mungu alishindwa nini kumsaidia korona isimuue?

Nakubaliana na mama, shughulika na korona kitaalam.
Kwa maelezo yako

Chanjo hujachanjwa
Nyungu hujapiga
Hujajifungia unaenda kazini kila siku


Mbona hujafa na corona sasa??
 
Rais wetu anajua kabisa Sayansi ni Sayansi na sio Siasa, lazima ashauriwe na Wanasayansi sio Lumumba

Anataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
 
Tena wewe mdadisi ndiye unaweza kuwa wa kwanza kupimwaCorona na kile kipimo kipya! [emoji23]
 
Unataka tuweke lock down, huo ndio utaalam unaotaka, hao wenye lock down wanakufa wengi zaidi ya Tz sasa nini faida ya lockdown ? SSH ana tatizo, tena ni KUBWA.
Na Haya ndio Rais anapinga..... Unadai wengine wanakufa ila wewe hauna takwimu!! Sasa ndio nini hiko?

Then lockdown hakuna aliyeitaka ile ilikua stage ya mwisho ya kulimit contamination.... Na kazi yake ni kucomtrol maambukizi so hta wakifa watu wengi kuliko TZ then fahamu wangekufa mara 4 yake bila lockdown.

Then unachopaswa kujua kwa kila takwimu ya vifo unayosikia huko nje ni 5 percent ya wote waliougua!! Hzi takwimu hamzijui mmekalia kusikia vifo tu na kushabikia kwamba mko better kuliko mataifa mengine yenye "lockdown na madawa ya kila aina".
 
Anataka wamshauri nini asichojua? Huu nao ni uongo mtupu na upotevu wa pesa! Hivi kweli hatuna msimamo juu ya Corona? Leo hii amesahau kuwa avai barakoa? Hajui kutovaa Barakoa ni msimamo tayari?
Hajui takwimu maana mkemia alizificha na kukataza wasitangaze. Sasa ni kosa kufanya tafiti ya kisayansi? Hvi nchi hii Mkemia alikia anaipeleka wapi?
 
SSH anaropoka mambo ambayo hana uwezo nayo, anajaribu kujionesha muelevu kumbe ndio anaonyesha ujinga wake, mambo anayo ongea unaweza pata mshangao, hivi unaweza sema Tz hatukuwa na stand dhidi ya Corona.

Wanaompigia vigelegele pia wanamuona boya maana wamefanikiwa kumchota akili kwa vigelegele tu na yeye anacheza ngoma yao.
Takwimu za huo ugonjwa hakuna anayejua..kwa hio watu hawaez kuchukua tahazar bila kujua takwim.mama yuko sahihi lazima tujue hLi yetu
 
SSH anaropoka mambo ambayo hana uwezo nayo, anajaribu kujionesha muelevu kumbe ndio anaonyesha ujinga wake, mambo anayo ongea unaweza pata mshangao, hivi unaweza sema Tz hatukuwa na stand dhidi ya Corona.

Wanaompigia vigelegele pia wanamuona boya maana wamefanikiwa kumchota akili kwa vigelegele tu na yeye anacheza ngoma yao.
Stand ya Tanzania ni kwamba nchi haikuwa na corona,na kama ipo basi ni ndogo sana,

Kilichotokea baada ya hapo ni vifo kila kona mpaka kufikia kufariki KWA viongoz wakubwa wakubwa kama Maalif seif,John kijaz,na wengine wengi,

Unataka tuendelee kujificha nyuma ya upuuz wa mwendazake tuendelee kufa?

Utaalam lazima uzingatiwe
 
Mama Samia yeye sio Doctor na wala hana utambuzi wa ubabe wa utambuzi wa juu ya kinachoendelea duniani. Ameamua maamuzi yake yawe ni maamuzi ya kamati ya uchunguzi juu ya suala la Korona, ambalo ukilitazama jambo lenyewe ni mtambuka. Ameamua kwenda kwa mwendo wake kupunguza presha.
 
waTanzania mlishaanza kuwa masugu kwa kutawaliwa kinguvunguvu,
Magu akienda na kujiamulia kivyakevyake mkamuita dictator ,huyu nae akiita watu kushauriana nao na kuunda ushirika katika maamuzi mnamuona hana anachokijua.
Mna tatizo la mzoea vya kunyonga ambavyo vilikuwa vimeanza kutoa mizizi na miche .Ila mipango ya Mungu hakuna anaeijua.
Magufuli alikuwa anakosolewa humu ni haki zao watu kukosoa wanapoona kuna makosa hivyo na Samia pia lazima nae akosolewe ukoasoaji haujaishia kwa Jiwe tu. Sasa Mama samia kwa kuanza kwa yeye kuvaa barakoa tu na kusisitiza na raia wavae barakoa ni jambo lenye kuhitaji ushauri wa kutoka kwenye kamati? Hoja ni kwamba anajificha nyuma ya kamati kwa kumuogopa nani wakati mwanzo tulishakuwa tumezuia mikusanyiko,kusisitiza kunawa mikono na kuvaa barakoa,level seat n.k hayo yote yalikuwa ni hatua za kitalaamua za kushughulika na corona ila tukaacha sasa hayo nayo ni ya kusubiri ushauri wa kamati wakati tulishayafanyaga huko mwanzoni?
 
Kenya wanaofuata COVID19 protocols wako wapi?
Je hamsikii hosptali na mfumo wa afya ulivyozidiwa?
Mbona bongo tunaishi na vizuri tu na maisha yanaendelea kama kawaida?
Tunataka maisha gani zaidi?
Ila waTZ vichwa vigumu sana..... Ukiona Kenya wamezidiwa ujue bila protocols tatizo lingekua mara 3 zaidi. Control maana yake ni kupunguza madhara ya kitu sio kustopisha coz ni ngumu kufuatilia compliance ya kila mtu.

Bongo tunaishi vizuri wapi? Mwezi wa kwanza na wapili ilipita wave kubwa hospital zilizidiwa hadi wengi kukimbizwa Kenya..... Mie personally kwenye inner circle yangu ya watu sita waliugua watatu tena critical. Ssa mnapowacheka wa Kenya hku hamna takwimu tuwaeleweje.
 
Kwa hali wanayopitia Kenya kwa sasa kwa sababu ya Corona, JPM ni shujaa wa Africa.
 
Back
Top Bottom