Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

Bila Mataga na lile genge lenu la kikabila mbona mama hata ulinzi hahitaji?

Mama ni kipenzi cha wengi na hasa walio wazalendo.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.

Kama wewe na chadema sio wanafki lini mmeanza kuipenda CCM 😆😆😆

Mnachokitaka nusunusu mtakipata kikiwa kamili🤣🤣
 
Nyie ambao mnataka hotuba za kufokea watu na matusi ndio mnaona Raishana mvuto. Rais kwangu ana mataumaini makubwa sana hasa kwenye kukuza sekta binafsi iliyokuwa inapumulia mashine, na kurekebisha uhusiano na majirani na biashara za watanzania kuruhusiwa kuendelea kati yake na nchi jirani. Samia kaenda Kenya siku mbili tu tayari malori yaliyokuwa yemekwama mpakani yanaruhusiwa kwenda kuuza mahindi Kenya

Sio kiki za kutembea na makamera muda wote na kufokafoka, matusi, rais sio celebrity kila siku kwenye camera na mitandaoni huku wananchi hali ngumu, biashara haziendi, ajira hakuna na majirani wametupiga pini

viongozi wanaingia na kuongoza mtaifa makubwa na kuyapaisha kiuchumi huwaoni wakifokea watu hovyo hadharani
 
Hii haihusiani na ufuasi wa nani na nani?
Basi muacheni Mama aende style yake. Niliwahi kumsikia Maghufuli siku Ile anaongea na wastaafu Dar akisema "Aachwe atakosolewa akimaliza muhula wake". Na alienda mbali zaidi kuwaambia baadhi yao, wanawashwa washwa. Mungu hakupenda afike huko.

So kwa Mama ni vigumu sana kubadilika ukiwa na muundo na mfumo ule ule.
 
Kwenda zako unataka wateule wa jpm wabwagwe wakati ndio magufulists wana imani nao kuhusu kuendelezwa fikra na utendaji wa magufuli.
 
Yaan hawa wasukuma wapumbavu sana,,dawa yake mama awashughulikie kwa namna moja au nyingine
 
Mfuateni Mungu wenu ahela.
 
Kama wewe na chadema sio wanafki lini mmeanza kuipenda CCM 😆😆😆

Mnachokitaka nusunusu mtakipata kikiwa kamili🤣🤣

Hapendwi mtu wala chama bi dada.

Chadema au CCM, Mama au Jiwe? Tenda wema, utupe haki zetu, uhuru wetu, maendeleo yetu na zetu zote zilizopo. Tutakuwapo kukuunga mkono wakati wote kama watanzania wazalendo.

Mama anapotenda vyema tunampongeza, akienda fyongo tutasema kama watanzania wazalendo.

Yule wa awamu ile alikuwa akitenda fyongo mno ndiyo maana alivuna alichopanda!
 
Sukuma gang mmejipanga kupinga kila jambo analolifanya rais Samia.
 
Ba


Basi tulieni KAZI IENDELEE
 
Wakuitwa jumong [emoji23][emoji23][emoji23]amekuwa yanpol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…