Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
MATAGA hilo hawalijuiMbona umepaniki Maisha yenyewe hayahaya unapata pressure tulia Mama ndio Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATAGA hilo hawalijuiMbona umepaniki Maisha yenyewe hayahaya unapata pressure tulia Mama ndio Rais
Swali la kitoto,kipumbavu.
Tundu hajawahi kuwa Rais au Salumu Mwalimu hajawahi kuwa makamu wa Rais ukapima performance yao.Wape kwanza hayo madaraka ndiyo uwalinganishe.una mawazo ya kijinga sana.sijui mara nyingi unawaza kwa kutumia nini.
Mtu alikuwa makamu wa Rais miaka 5, CCM iko madarakani tangu nchi hii kuzaliwa bado kila Rais anayeingia ni RAIS WA MAJARIBIO.Eti Tumpe muda. Watanzania sijui tumerogwa na nani.Nchiya wajinga na wapuuzi wengi.
TUMIA AKILI KUFIKIRI,PUNGUZA ULIMBUKENI NA USHABIKI.
Mwaka kesho akili zitakaa sawaMATAGA hilo hawalijui
sasa km dereva alikuwa Msukuma lazima kuna abiria walizoea lift na kupiga soga za kisukuma kinawaumaKwani alikuwa nje ya hilo gari? Si alikuwa utingo?
Kweli tupuHabari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana ndani ya muda mfupi.
Nadhani yafuatayo yamechangia yeye kupoteza mvuto kwa kasi:
- Hotuba zake zimekosa msisimko, nadhani ni kwasababu Waandishi wake wamekuwa waki-copy na kupaste hotuba zake. Kila hotuba tunasikia yale yale (Taifa kufiwa, Jinsia yake, lazima aombe epewe muda nk)
- Wizara ya Habari inamuangusha kwa 100% watu wanatamani kuona ubabaishaji unaondoka Serikalini lakini ndani ya wiki Moja Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imetoa maboko mara mbili (1: BASATA na Wasanii, 2: Mechi ya Simba SC vs Yanga SC)
- Kuendelea kuwepo Madarakani kwa baadhi ya Watendaji ambao Wananchi tuliamini walipaswa kuondoka baada ya zama za Mwendazake kuisha. Ameondoka mmoja tu, yule aliyekuwa boss wa Manispaa ya Temeke. Lakini bado kuna wengine wengi wanapaswa kupumzishwa.
Hayo ni kwa uchache, nakushauri fanya yafuatayo kujinusuru dhidi ya chuki na visirani vya Wananchi kabla haujachelewa.
- Safisha Serikali yako, baki na watu Wenye weledi tu (mfano ni Mama wa Afya anapaswa kupumzika ametulaghai sana)
- Kama kuna wafungwa wa kisiasa basi nakusihi wape uhuru wao. Familia zao zinawapenda na kuwahitaji.
- Ile ripoti ya matumizi ya fedha Serikalini ambayo uliomba bado haijakamilika? kama tayari basi tuweke wazi na ikiwezekana watu wawajibike kama kuna makandokando
- Usijidanganye ukaendelea kugawa Mabenz ya Serikali au ya fedha za walipa Kodi. Wananchi hatuoni mantiki ya kufanya hivyo.
- Acha kuwa na hotuba zinazojirudia rudia. Siku hizi ukianza tu tunajua unakoelekea.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nyie wahutu mliojivika usukuma rudini kwenu Burundi mlikozoea kuchinjanaHabari wanaJF,

Wahutu mna shida sana,kama vipi kamfukueni mhutu mwenzenu arudi kutawalakwa sisi wapiga kura
Amekosa mvuto kwako umbwa wewe mama anakubalika balaa jua kama ulikua hujuiHabari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana ndani ya muda mfupi.
Nadhani yafuatayo yamechangia yeye kupoteza mvuto kwa kasi:
- Hotuba zake zimekosa msisimko, nadhani ni kwasababu Waandishi wake wamekuwa waki-copy na kupaste hotuba zake. Kila hotuba tunasikia yale yale (Taifa kufiwa, Jinsia yake, lazima aombe epewe muda nk)
- Wizara ya Habari inamuangusha kwa 100% watu wanatamani kuona ubabaishaji unaondoka Serikalini lakini ndani ya wiki Moja Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imetoa maboko mara mbili (1: BASATA na Wasanii, 2: Mechi ya Simba SC vs Yanga SC)
- Kuendelea kuwepo Madarakani kwa baadhi ya Watendaji ambao Wananchi tuliamini walipaswa kuondoka baada ya zama za Mwendazake kuisha. Ameondoka mmoja tu, yule aliyekuwa boss wa Manispaa ya Temeke. Lakini bado kuna wengine wengi wanapaswa kupumzishwa.
Hayo ni kwa uchache, nakushauri fanya yafuatayo kujinusuru dhidi ya chuki na visirani vya Wananchi kabla haujachelewa.
- Safisha Serikali yako, baki na watu Wenye weledi tu (mfano ni Mama wa Afya anapaswa kupumzika ametulaghai sana)
- Kama kuna wafungwa wa kisiasa basi nakusihi wape uhuru wao. Familia zao zinawapenda na kuwahitaji.
- Ile ripoti ya matumizi ya fedha Serikalini ambayo uliomba bado haijakamilika? kama tayari basi tuweke wazi na ikiwezekana watu wawajibike kama kuna makandokando
- Usijidanganye ukaendelea kugawa Mabenz ya Serikali au ya fedha za walipa Kodi. Wananchi hatuoni mantiki ya kufanya hivyo.
- Acha kuwa na hotuba zinazojirudia rudia. Siku hizi ukianza tu tunajua unakoelekea.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Tumechagua ili atuvutie au ashee na sisi uongozi.Kwa hiyo rais unamfananisha na kima au tembo ambyo kwa pamoja ni kivutio cha wataliikwa sisi wapiga kura
Unataka rais akuvutie wewe ni nani,shenzi wewe.Habari wanaJF,
Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi
Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana ndani ya muda mfupi.
Nadhani yafuatayo yamechangia yeye kupoteza mvuto kwa kasi:
- Hotuba zake zimekosa msisimko, nadhani ni kwasababu Waandishi wake wamekuwa waki-copy na kupaste hotuba zake. Kila hotuba tunasikia yale yale (Taifa kufiwa, Jinsia yake, lazima aombe epewe muda nk)
- Wizara ya Habari inamuangusha kwa 100% watu wanatamani kuona ubabaishaji unaondoka Serikalini lakini ndani ya wiki Moja Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imetoa maboko mara mbili (1: BASATA na Wasanii, 2: Mechi ya Simba SC vs Yanga SC)
- Kuendelea kuwepo Madarakani kwa baadhi ya Watendaji ambao Wananchi tuliamini walipaswa kuondoka baada ya zama za Mwendazake kuisha. Ameondoka mmoja tu, yule aliyekuwa boss wa Manispaa ya Temeke. Lakini bado kuna wengine wengi wanapaswa kupumzishwa.
Hayo ni kwa uchache, nakushauri fanya yafuatayo kujinusuru dhidi ya chuki na visirani vya Wananchi kabla haujachelewa.
- Safisha Serikali yako, baki na watu Wenye weledi tu (mfano ni Mama wa Afya anapaswa kupumzika ametulaghai sana)
- Kama kuna wafungwa wa kisiasa basi nakusihi wape uhuru wao. Familia zao zinawapenda na kuwahitaji.
- Ile ripoti ya matumizi ya fedha Serikalini ambayo uliomba bado haijakamilika? kama tayari basi tuweke wazi na ikiwezekana watu wawajibike kama kuna makandokando
- Usijidanganye ukaendelea kugawa Mabenz ya Serikali au ya fedha za walipa Kodi. Wananchi hatuoni mantiki ya kufanya hivyo.
- Acha kuwa na hotuba zinazojirudia rudia. Siku hizi ukianza tu tunajua unakoelekea.
Au nasema uongo ndugu zangu?
daaah...... mwanangu nzelu mwana za bwino we nihatari utafkiri we ndio ulianzisha somo la fasihi andishiRekebisha kichwa cha habari.maudhui Yako yamejaa ushauri tofauti na kichwa cha habar.nakushauri kichwa cha habari kisomeke hivi mh rais tupia jicho mambo haya ili kuendana na falsafa Yako.
hhahahahha......................... naona pilipili mbuzi ushaanza kuwasha ngoja tulete maji upoe maaana ushaaanzaUnataka rais akuvutie wewe ni nani,shenzi wewe.