Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM si ndo Yule wa CCM ambaye hata hajatumia gharama yoyote kuhusu Corona, yeye akatambua nguvu isiyoshindika ya mwenyezi Mungu ndo unamzungumzia huyo siyo?Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso???!
Anyway
Nimejiuliza pia hawa wateule kushupaza shingo ni kuwa wanajua hatapita? He he he heeeeeeeee.....wameamua wajiendee mjengoni wakawe wapinzani? Au hawakuridhika na utendaji kazi wake wameona waende kwenye muhimili mwingine..
Nawaza tu jamani.....kuwaza ni kukomaza ubongo.
Mimi sio kijana wa 82...ha ha haNakumbuka kauli ya polepole wakati tupo mkutano wa UVCCM vijana jiungeni Jamiiforums mkapambane na hoja tutawaona haujaonywa tu bado boss?
Mheshimiwa take ease maisha yaendelee. Uchaguzi ulishamalizika. Usiumize kichwa.Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso?
Anyway, nimejiuliza pia hawa wateule kushupaza shingo ni kuwa wanajua hatapita? He he he! Wameamua wajiendee mjengoni wakawe wapinzani, au hawakuridhika na utendaji kazi wake wameona waende kwenye muhimili mwingine?
Nawaza tu jamani, kuwaza ni kukomaza ubongo.
Lakini unatumikishwa kama msukuleMimi sio kijana wa 82...ha ha ha
Nimo humu pengine kabla ya polepole hajajiunga CCM.
Ashindwe kirahisi tu? Na akubali kirahisi tu kukabidhi nchi na majeshi na usalama wa taifa? We unaona hilo likitokea kirahisi kwa aina ya raisi tuliye naye?What if akashindwa.
Atawapa maisha hawa wateuele wake waliokuwa na ndoto za ubunge?
Nafikiri wewe ndio mgeni wa nchi hii kama hujajua bado kwamba kashashinda.Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso?
Anyway, nimejiuliza pia hawa wateule kushupaza shingo ni kuwa wanajua hatapita? He he he! Wameamua wajiendee mjengoni wakawe wapinzani, au hawakuridhika na utendaji kazi wake wameona waende kwenye muhimili mwingine?
Nawaza tu jamani, kuwaza ni kukomaza ubongo.
Hahahaa Kumbe wanataka uteuzi tu? Pole Pole anajua hadi Majina halisi ya hawa walamba miguu ya MEKO!!Nakumbuka kauli ya polepole wakati tupo mkutano wa UVCCM vijana jiungeni Jamiiforums mkapambane na hoja tutawaona haujaonywa tu bado boss?
amejihakikishia ushindi kupitia dola,siyo kwenye sanduku la kuraHii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso?
Anyway, nimejiuliza pia hawa wateule kushupaza shingo ni kuwa wanajua hatapita? He he he! Wameamua wajiendee mjengoni wakawe wapinzani, au hawakuridhika na utendaji kazi wake wameona waende kwenye muhimili mwingine?
Nawaza tu jamani, kuwaza ni kukomaza ubongo.
Yaani kwa matarajio yako kuna kidampa anaweza kupambana na JPM. Sio tu ndani ya Tanzania Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi wa mfano Africa na Dunia.
Huwezi kujua utadumu muda gani kwenye uteule lakini ubunge ni miaka mitano na bosi wako si mtu mmoja bali wapiga kura wako.Hili la msingi sana hatujui ya kesho.
Kumkataza mtu kutimiza ndoto zake huku wewe ukiwa hujui kama kesho utaishi ama utashinda si jambo jema hata kidogo.
Kulala tajiri kuamka maskini .What if akashindwa.
Atawapa maisha hawa wateuele wake waliokuwa na ndoto za ubunge?
Alitumia kauli “kama nitashida” even though tunajua hana mpinzani
Hana hoja,hivyo haonekaniki.Nakumbuka kauli ya polepole wakati tupo mkutano wa UVCCM vijana jiungeni Jamiiforums mkapambane na hoja tutawaona haujaonywa tu bado boss?
JPM si ndo Yule wa CCM ambaye hata hajatumia gharama yoyote kuhusu Corona, yeye akatambua nguvu isiyoshindika ya mwenyezi Mungu ndo unamzungumzia huyo siyo?
Kama ni huyo, pigia mstari swali lako kuwa ndilo jibu, na usiulize tena swali kama Hilo utajishushua heshima
What if akashindwa
Hawa wenye ndoto zao itakuwaje?
Mbona hadi Lissu anaamini ashapitishwa na CDM na kuukwaa Urais.
Watu wamechoka sasa na rais ila basi tu.Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua.
Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa Mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso?