Uchaguzi 2020 Kwanini Rais anajitangazia ushindi?

Uchaguzi 2020 Kwanini Rais anajitangazia ushindi?

Hili linatakiwa kuthibitishwa kivitendo co kwa kuhangaika huku
Yaani kwa matarajio yako kuna kidampa anaweza kupambana na JPM. Sio tu ndani ya Tanzania Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi wa mfano Afrika na Dunia.
 
Kumbukeni membe sio kama lowasa hawezi kukubali yani ashinde afu mumwambie kashindwa panaweza paka chimbika membe ni mtatata sana yule jamaa kwaiyo bac mm navyoona uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu mno...
 
Hata kama ni siasa, ni vyema majaliwa ya mwanadamu yakawekwa mikononi mwa Muumba wake. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na kiburi cha uzima kutokana na madaraka ama utajiri.

Pengine labda tukuchulie alikuwa akifanya utani tu kwa wateule wake, ijapokuwa kwa kumaanisha ni yeye mwenyewe ambaye ndiye aliyewatuma kutia nia kwa malengo yake ya baadaye.
Lakini Jana nimemsikia akitumia neno "kama nitashinda", au ilikuwa geresha?
 
Back
Top Bottom