mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwa matarajio yako kuna kidampa anaweza kupambana na JPM. Sio tu ndani ya Tanzania Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi wa mfano Afrika na Dunia.
Lakini Jana nimemsikia akitumia neno "kama nitashinda", au ilikuwa geresha?Hata kama ni siasa, ni vyema majaliwa ya mwanadamu yakawekwa mikononi mwa Muumba wake. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na kiburi cha uzima kutokana na madaraka ama utajiri.
Pengine labda tukuchulie alikuwa akifanya utani tu kwa wateule wake, ijapokuwa kwa kumaanisha ni yeye mwenyewe ambaye ndiye aliyewatuma kutia nia kwa malengo yake ya baadaye.