Uchaguzi 2020 Kwanini Rais anajitangazia ushindi?

JPM si ndo Yule wa CCM ambaye hata hajatumia gharama yoyote kuhusu Corona, yeye akatambua nguvu isiyoshindika ya mwenyezi Mungu ndo unamzungumzia huyo siyo?

Kama ni huyo, pigia mstari swali lako kuwa ndilo jibu, na usiulize tena swali kama Hilo utajishushua heshima
 
Nakumbuka kauli ya polepole wakati tupo mkutano wa UVCCM vijana jiungeni Jamiiforums mkapambane na hoja tutawaona haujaonywa tu bado boss?
Mimi sio kijana wa 82...ha ha ha
Nimo humu pengine kabla ya polepole hajajiunga CCM.
 
Mheshimiwa take ease maisha yaendelee. Uchaguzi ulishamalizika. Usiumize kichwa.
 
What if akashindwa.

Atawapa maisha hawa wateuele wake waliokuwa na ndoto za ubunge?
Ashindwe kirahisi tu? Na akubali kirahisi tu kukabidhi nchi na majeshi na usalama wa taifa? We unaona hilo likitokea kirahisi kwa aina ya raisi tuliye naye?
 
Nafikiri wewe ndio mgeni wa nchi hii kama hujajua bado kwamba kashashinda.
 
Nakumbuka kauli ya polepole wakati tupo mkutano wa UVCCM vijana jiungeni Jamiiforums mkapambane na hoja tutawaona haujaonywa tu bado boss?
Hahahaa Kumbe wanataka uteuzi tu? Pole Pole anajua hadi Majina halisi ya hawa walamba miguu ya MEKO!!
 
amejihakikishia ushindi kupitia dola,siyo kwenye sanduku la kura
 
Yaani kwa matarajio yako kuna kidampa anaweza kupambana na JPM. Sio tu ndani ya Tanzania Rais John Pombe Magufuli ni kiongozi wa mfano Africa na Dunia.

Angekuwa ana hizo sifa basi Tundu Lissu asingemuona kama Rais wa ajabu kuwahi kutokea nchini, na pia asingemfananisha na Dikteta Uchwara.
 
Hili la msingi sana hatujui ya kesho.

Kumkataza mtu kutimiza ndoto zake huku wewe ukiwa hujui kama kesho utaishi ama utashinda si jambo jema hata kidogo.
Huwezi kujua utadumu muda gani kwenye uteule lakini ubunge ni miaka mitano na bosi wako si mtu mmoja bali wapiga kura wako.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Yeye ndio tume, yy ndio polisi na yy ndio vyombo vya dola......
Ni sawa na uhuni wa kwenda kutafuta mgombea wa ccm dodoma wkt kalazimisha abaki peke yake.....
 

Hivi usipoheshimiwa unatoboka ee? Au unakuwa mdogo?
 
Watu wamechoka sasa na rais ila basi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…