Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

Mgosi Mbena

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2023
Posts
499
Reaction score
604
Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani??
Shida ni nini hasa??
Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!!

Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na wanafunzi wake??

Comment ziwe fupi fupi muda mchache😎
 

Nakumbuka Tido Mhando (Azam) na Bakari Machumu (Mwananchi Com.) waliwahi kufanya interview na Mh. SSH.
 
Nakumbuka Tido Mhando (Azam) na Bakari Machumu (Mwananchi Com.) waliwahi kufanya interview na Mh. SSH.
😂😂😂ebuuu tusichoshane mkuu
weka hyo interview au walifanya video ya kumpongeza ! Real interview
 
Master open university
 
Waandishi wenyewe hawa Machawa wataweza hata kuuliza swali la maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…