Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

Nchi zetu hizi za kiafrika....unatumika kwa mapesa mengi na WALIBERALI wa nje kumzodoa kiongozi ili kutengeneza "miluzi mingi"....
Athari ya "miluzi mingi" huenda kwetu wananchi na kutuumiza zaidi ya "hapa tulipo"....

#Nchi Kwanza!
 
Duuh kumbe alitaka magaidi wa Kibiti na kwengineko watuumize wananchi ?!!

Hatari sana
 
DPP wa wakati huo anajua.Nakumbuka kama ni makosa ya kutakatishwa pesa na kuendesha magenge ya kiharifu nchini.Aliomba msamaha Kwa DPP kuwa alishawishiwa tu na wazungu wake na baadae akaachiwa Kwa huruma
Huyo DPP na Magufuli wote walikuwa wehu.
 
Kabandera na kitabu chake ni mambo mawili yanayo hitaji Tafakuli yakinifu lakini uandishi wa Kabendera ni wazi una mikono ya kisiasa ndani yake ili kujenga Taswira mbaya kwa wafasi wa Magufuli ambao wanaonekana kumminya Rais Samia
 
Hii nawe umeipata kumbe,wanao mtetea wamuulize dola 130,000 kwa mwezi zilikuwa zkitoka wapi na kwa nani kuja kwake kwa kazi gani alizofanya?.
Pia ulizeni alikuwa akilipa kodi kabla ya kuzigawa kwa marafiki wa mitandaoni?
 
Mnatumia nguvu kubwa sana kumsafisha mzee.
 
Hizo milioni 300 ulimwekea wewe? Wacha kuchafua watu kwa story zisizo za kweli
 
Nasikia ana andaa filamu kuhusu utawala wa jpm ! Kabendera nimhuni aliyepitiliza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Magu alijitoa muhanga???
Na wewe ukamuamini kua kajitoa muhanga..
Ccm ni walewale tu wafata ilani yao ambayo hawaifati.
 
Unaweza kuthibitisha hizi tuhuma unazomtupia Kabendera ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…