Alikuwa na huruma za kibidamu, alifiwa na mama yake, lakini pia kulikuwa na pressure kubwa kutoka vyombo vikubwa vya habari vya mgharibu hasa vya Uingereza.
Kwa kukomesha ule ugaidi Actually Magufuli ameongeza uhuru kwa Watanzania wote na hasa uhuru wa vyombo vya habari hasa Pwani, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Tunduma mpakani na Msumbiji. Sehemu hiyo yote magaidi walitaka iwe himaya yao. JPM asingesimama leo tungekuwa na matatizo mengi sana.
JPM alitoa order hataki mateka. Hakuna kukopeshana walipwe haki zao kikamilifu on spot kwamba magaidi wote waangamizwe.
Kabendera yeye ndio alikuwa kiungo wao muhimu coordinate wao pia kiungo muhimu magaidi wasiwindwe mchana na usiku, jeshi lipunguze kuwasakama. Alipiga kelele nyingi kupitia report zake, tuwekewe vikwazo, wawekezaji wasije Tanzania, tume za uchunguzi zije kutoka ulaya.
Ilifikia wakati watu waliogopa kufanya shughuli zao, za kijamii, kiuchumi shughuli zao zozote kwa kuogopa kutekwa na kuuwawa hayo maeneo.