mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Kwa hiyo na wewe ni mtoto wa Shule?Mada zingine zinafaa zijadiliwe na watoto wa shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na wewe ni mtoto wa Shule?Mada zingine zinafaa zijadiliwe na watoto wa shule.
Bora mzungu alivyokuja kutuokoa. Historia ya utawala wa Africa kabla ya ujio wa wakoloni haisomwi vizuri.
hao wachina na mataifa ya wazungu hupambana kukijua kiingereza ili wawe 'compatible' dunia nzima.
Ukiwaona wanajenga Africa usifikiri waliona tangazo la tenda lilioandikwa kwa kichina.
Usione Chancellor wa ujerumani anaongea Kijerumani,ukimuita Chemba anatema yai hatari.
Huyu karibu mkuu wa UN Guiterez ni mreno,ila anatema yai.
Hawa makocha walioko Africa ambao wanatokea Ufaransa , Belgium,Serbia na nchi zisizo na English wanaongea English ndio maana wanafanya kazi karibia kila nchi Africa. Including Gomez na Sven sio waingereza.
Unafikiri Makocha wa Bongo hawana uwezo wa kufundisha nje ya nchi? Yai baba.
Halafu huyu(mleta mada) ndio jiniaz Kwa taarifa yako.Akili ya mwafrika bana 😂😂😂...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.
Uwatake radhi watoto wa shule mkuu umewashusha sana, labda mada hii iende Milembe tuone kama wale wagonjwa wameanza kuimprove au,laa.Mada zingine zinafaa zijadiliwe na watoto wa shule.
Na wewe mwenyewe kishakumaliza si unaona umeishaingiza kiingereza kwenye bandiko lako hivyo ujue wote tuko kwenye mstari mmoja.Akili ya mwafrika bana 😂😂😂...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.
Ni wapi tu Mwendazake ameongelewa?watanzania ni watu wa ajabu sanaa kwa kweli, hamuwezi mkamuacha marehemu akapumzike kwa amani ,in an african tradition its taboo to speak ill of the dead.au nyie ile misemo ya "ukitaka kusifiwa uwe marehemu"mnataka kuandika upya ?acheni ujinga na muache marehemu apumzike kwa amani.
Yes ofu coz he uzid to toku zat language longi taim with ze wait pipo ini ze uropu endi ini ze America while he's steiyingi zea.Popote pale ulipo Rais wangu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete Shikamoo kwa Kuzungumza Kwako vizuri na kiufasaha kabisa Lugha ya Kiingereza jana ulipokuwa umealikwa.
Na ulichonifurahisha zaidi GENTAMYCINE ulikuwa unakiongea huku ukiwa hutetemeki, unajiamini na unatiririka nacho vizuri kama Mchezaji wako wa Yanga SC Tuisila Kisinda halafu na hata Kiingereza chenyewe nacho kinakupenda na kinakupendeza vile vile.
Kwa jinsi ninavyojijua GENTAMYCINE ndiyo ingekuwa Mimi jana pale ningechapia sana hiyo Lugha na kwa Kuzuga ningeishia tu Kuongea Kizanaki au Kimakuwa changu, Kukasirika ( Kufoka ) hovyo huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho na Kulazimisha nitumie Lugha ya Kiswahili hata kama 99% ya Wanaonisikiliza hawakijui na watatafsiriwa na Wenyeji au Wakalimani wao.
Kwani kuna aliyeenda kumuamsha?watanzania ni watu wa ajabu sanaa kwa kweli, hamuwezi mkamuacha marehemu akapumzike kwa amani ,in an african tradition its taboo to speak ill of the dead.au nyie ile misemo ya "ukitaka kusifiwa uwe marehemu"mnataka kuandika upya ?acheni ujinga na muache marehemu apumzike kwa amani.
huku Komwe langu Kubwa likitokwa na Jasho
Kwa akili kama zako tunaitaji kutawaliwa na wazungu kwa miaka 100.Huyu alizaliwa na kiswahili akapambana kujua kimombo pekee, mwendazake alizaliwa na kisukuma akaanza kupambana kujua kwanza kiswahili baadae kimombo, JK anajua lugha 2 tu na mwendazake alimudu moja 1 hizi 2 ilikuwa ni majanga.
popoma katika uhalisia wako.Mola / Maulana aliamua kutuokoa upesi.