Akili ya mwafrika bana [emoji23][emoji23][emoji23]...sometimes huwa sishangai kwanini tupo hapa, mawazo tu ya watu yana reflect our highest level of stupidity. Anyways ngoja maisha yaendelee. Mzungu keshatumaliza kila kitu, hatuna jipya as a race of people.