Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la Ukraine na wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa

Je, ni kwanini Putin anawataka wanajeshi wa Ukraine kusalender?
 
Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la ukraine na wanajeshi wa ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa

Je ni kwanini putin anawataka wanajeshi wa ukraine kusalender
Kwasababu wanaoundugu..
 
Kwasababu anajua hawawezi kushinda vita hiyo na hata hao west hawana msaada wa kuwafanya Ukraine washinde vita hiyo.
 
Anawaomba? Huwa anawaambia jisalimisheni wakikataa huwa anawafanya hivi
img_2_1647689998122.jpg
 
Sasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.
Uchumi ni rasilimali na hizo rasilimali uwe unajua kuziutilize. Sasa mrussi all important resouce anazo na ukizingatia uchumi wa dunia ya sasa ni viwand na viwanda vinategemea nishati (Oil, Coal, Gas) na zote hzo yeye ni major single supplier in a whole europe and world wide at all
 
Vitani unaomba adui ajisalimishe? Silaha zake kapeleka wapi?
 
Vita ni garama na yeye hesabu zake zilikuwa ni ndani ya mda mfupi awe ameisha maliza Hii vita.

ila Ukraine imekaza sasa anabaki kutishia mara nyukiria mala Wajisalimishe yani anatapa tapa kama panya jike

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Sasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.
Ni kweli lakini si kiivyo. Urusi inajitengenezea magari, silaha, chakula na maligafi za kutengeneza hivyo vitu zaidi ya 95% vinapatikana Nchini mwake. Hivyo anaweza kusustain bila kutumia pesa nyingi ukilinganisha na kama asingekuwa na uwezo wa kujitengenezea vifaa ivyo. Kwa hiyo ni raia wa Ukraine ndio watapata madhala makubwa sana na yatawa athiri kwa mda mrefu.
 
Back
Top Bottom