Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

Kwanini Rais Putin anawaomba Wanajeshi wa Ukraine kusalender vita hii

Na yeye ni binadamu saivi anaishi kama kunguru mwenzenu.
Ok
JamiiForums-1188093367.jpg
 
Sasa watu wapo chini ya andaki hakuna kitu chochote kinachoweza wafikia zaidi ya kusubiri kifo.sasa kwa nini usiwambie wajisalimishe?
 
Kwasababu hataki lawama za mauwaji ya raia wasio na hatia, silaha zake yeye ni pigo moja linamaliza mji.
Linamaliza mji upi? Mji ambao umezungukwa na wanajeshi wa Russia ambao wamevamia Ukraine
 
Pitini ni mwendawazimu tu kwa Sababu kama asingekua mwendawazimu asingeweza kuvamia nchi huru na kuanza kuua raia wasokuwa na hatia .Lakini Cha kifurahisha ni kwamba huu ndiyo mwisho wake Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh hivi Suala la Putin na NATO ,...mmeanza kulifatilia Baada ya hii vita ya Ukraine??.

Kwa mtu mfatiliaji wa Siasa za Mashariki , Lazima utakubaliana na Hatua alizochukua Putin kulinda Taifa lake.
 
Back
Top Bottom