Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hawawezi, usimfananishe Putin na akina gadaffi.Putin alianzisha vita kichaa, na west wanataka iwe ya muda mrefu wammalize kiuchumi na kijeshi.
Kwasababu wanaoundugu..Tangu vita vimeanza hii ni week ya tatu putin amekuwa akisika mara kadhaa akiliomba jeshi la ukraine na wanajeshi wa ukraine kusalender vita hiii lakini bado madogo wanakomaa
Je ni kwanini putin anawataka wanajeshi wa ukraine kusalender
Sasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.Hawawezi, usimfananishe Putin na akina gadaffi.
Kaka, ni muda mrefu Marekani amekuwa kinara wa kuangusha tawala zinazotiahia uchumi na nguvu za kijeshi, lkn kwa Putin hatofanikiwa.Sasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.
Uchumi ni rasilimali na hizo rasilimali uwe unajua kuziutilize. Sasa mrussi all important resouce anazo na ukizingatia uchumi wa dunia ya sasa ni viwand na viwanda vinategemea nishati (Oil, Coal, Gas) na zote hzo yeye ni major single supplier in a whole europe and world wide at allSasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.
Mbona jambo la kawaida vitani kujisalimisha au wewe hujui.Vitani unaomba adui ajisalimishe? Silaha zake kapeleka wapi?
Adui anajisalimisha akizidiwa. Sasa hapa huyo Putin anawaomba wajisalimishe wakati hawajazidiwa.Mbona jambo la kawaida vitani kujisalimisha au wewe hujui.
Ni kweli lakini si kiivyo. Urusi inajitengenezea magari, silaha, chakula na maligafi za kutengeneza hivyo vitu zaidi ya 95% vinapatikana Nchini mwake. Hivyo anaweza kusustain bila kutumia pesa nyingi ukilinganisha na kama asingekuwa na uwezo wa kujitengenezea vifaa ivyo. Kwa hiyo ni raia wa Ukraine ndio watapata madhala makubwa sana na yatawa athiri kwa mda mrefu.Sasa rusia sio Soviet. Hana uchumi huo wa kupigana muda mrefu, vita ni pesa.
Alokwambia hawajazidiwa ni nani , au huna taarifa kinachoendelea mauripol?Adui anajisalimisha akizidiwa. Sasa hapa huyo Putin anawaomba wajisalimishe wakati hawajazidiwa.
Siyo kweli hata kidogo. Uko biasedVita ni garama na yeye hesabu zake zilikuwa ni ndani ya mda mfupi awe ameisha maliza Hii vita.
ila Ukraine imekaza sasa anabaki kutishia mara nyukiria mala Wajisalimishe yani anatapa tapa kama panya jike
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app