So hata kwenda Zanzibar hajaamua mwenyewe!Watu wengine wanajitoa ufahamu tu, wanajua fika kuwa Rais haamui mwenyewe pa kukaa.
Rais hawezi lala kwenye tembe. Yeye no taasisi. Ngoja wamjengee nyumba ndipo apate pa kufikiaMh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Kwanini asilipe? Lazima alipe maana ile biashara ila kwetu huku wafanyabiashara wanafanya kama fursa za kupata michango mingine.Hivi raisi akilala hotelini analipia?
Acha tozo zifanye kaziMh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Aaah acha bana una uhakika na uyasemayoKwanini asilipe? Lazima alipe maana ile biashara ila kwetu huku wafanyabiashara wanafanya kama fursa za kupata michango mingine.
Kuna kipindi cha Jk watu ikulu walikuwa wanafanya biashara yaani kuonana na mheshimiwa kulikuwa na price tag tofauti tofauti yaani ukitaka kupiga picha na raisi kulikuwa na bei yake,kuonana nae pia bei yake. 😂
Nimesema hivyo kutokana wafanyabiashara wa HOTEL wanapigana vikumbo kupata connections mheshimiwa akalale HOTEL yake.
Mkapa alikuwa haendi kwao kwa kuwa alikuwa hana nyumba.Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Kwao hakuna mkoa wenye ikulu?Rais analindwa 24/7- na Kuna mazingira yanatakiwa yawalidhishe Wanaomlinda ndo wampe rukhusa ya kukaa,Kula au kulala hapo. So Kama Nyumbani kwao bado Mazingira sio rafiki kiusalama itabidi kulala sehemu nyingine.Ndo maana kila Mkoa una Ikulu kuepusha haya
Duuh! Wala keki mmekosa mmekosa mpaka akiliUkiwa Rais palepale unageuka mali ya umma.Halafu,kwa ujenzi wetu huu wa kiaina,ulinzi utakuwa mgumu kufanyika.Idadi ya watu anaoambatana nao ni wengi.Hiyo nyumba itamudu?Kuanzia vyumba,vitanda,sebule kubwa,maliwato na faragha za watakaowakuta.Mengine tuyavumilie tu.Ile ni taasisi.Sasa taasisi ikihamia kwako si itakuwa vurumai?
Nyie ndio mnasababisha viongozi, na watumishi wengine wa umma kuwa wezi kwa ajili haya masimamgo.Mh. Rais wetu tokea juzi yupo kwao Kizimkazi, kanishangaza badala ya kufikia nyumbani kwake au kwao yeye kafikia hotelini! Anatoka hotelini na msafara anaenda kwao.
Je, kwao hajajenga nyumba ya makazi au wazazi wake hawana makazi mpaka yeye alale hotelini, kilomita 7 kutoka kijijini kwao au ndiyo anatumia tozo zetu?!
Mkuu wazazi wake walifanyiwa nini?BWM alikuwa hapati Lupaso na alipachukia sana na akiwachukia watu wa Lupaso ndiyo akupenda kuishi Lupaso kutokana na sababu ya kihistoria ya wazazi wake walivyo fanyiwa.
Una changamoto kidogo.Si sana.Nimejibu kwa kuangalia uhalisi wa jambo na wala siyo matakataka unayoyafikiria.Kuna uwezekano leo ndiyo umeiona id yangu.Duuh! Wala keki mmekosa mmekosa mpaka akili