Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

5525

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
5,412
Reaction score
6,279
Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?

287661658_5170824276337089_1450262974319586076_n.jpg
 
Picha limeanza..nisha lewa..picha limeanza nisha changanyikiwa.

Itakua maandalizi ya sultani kurejea zenji.

Wamemtangulizia picha ya ikulu atakayofikia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wachagga na wapare ni kujiandaa tu kama ndugu zetu wamasai. Tunauzwa in territories 🤣🤣
 
Nimekuwa najiuliza kwanini mwarabu hakupewa picha ya mlima wa Kilimanjaro badala yake akapewa ile ya Zanzibar Baitul Ajaibu?

View attachment 2259275
Oman alitawala mlima Kilimanjaro au alikuwa mtawala wa Zanzibar?

Tanzania inaunganishwa kitamaduni na Kiuchumi na historia ya Zanzibar au na Mlima Kilimanjaro?

Mtu ukishakuwa na chuki unajikuta umekuwa mpumbavu automatically ndio maana hata ku reason kidogo tuu mtu hawezi.
 
Hiyo picha ni ya zamani sana... kwani jengo hilo limeanguka upande mmoja..

Zaidi wakati likianguka lilikuwa likikabaratiwa kwa fedha toka serikali ya Oman 🇴🇲...
 
Wachagga na wapare ni kujiandaa tu kama ndugu zetu wamasai. Tunauzwa in territories [emoji1787][emoji1787]
Mpare atafia mlimani huwezi kumwondoa...ataloga watu bure[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom