Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Kama baada ya miaka 60 ya uhuru nchi iko hivi, wakati wa mkoloni ilikuwa je?
 
Hii zenj yangu haitarudi kwa mwarabu, wabaki kufurahia picha tu........
 
Picha limeanza..nisha lewa..picha limeanza nisha changanyikiwa.

Itakua maandalizi ya sultani kurejea zenji.

Wamemtangulizia picha ya ikulu atakayofikia.

#MaendeleoHayanaChama
Idiot! elimika kwanza! beit al ajaib ilijengwa na waarabu wa Oman. lakini haikuwa ikulu ya mfalme enzi zile. plus kama unaijua zanzibar kweli ungelijua kuwa beit el ajaib haipo kwa sasa, jumba limeanuka kwa kutoweza kutunzwa na serikali zenu za zanzibar na danganyika.
 
Kila siku walikuwa wakitwambia CUF na hasa Maalim Seif RIP anataka kumrejeaha Sultan wakati wao wanazingua hadi chumbani kwa Sultan.CCM na hasa rais wa Sasa wa muungano na yule wa Zanzibar huenda wakazifuta siasa za chuki na ubaguzi.
 
Nenda kalale chato hakuna namna,chuki zenu hamtoweza kuzificha bt mkubali tu yule iblis mal uun ameshakwenda kuzimu na hatorud kamwe
Na bado kasema waje kuwekeza (au kuekeza kwa lafudhi yake) atawapa ‘favourable incentives’ Inabidi tujiulize ana maanisha nini hapa tax holidays za miaka mingi, nyongeza ya capital allowance, low utilities bills kama matakwa ya mradi wa Bagamoyo na mengine ya ovyo kama yaliyomo kwenye MoU ya bandari ya Bagamoyo.

Ana maamisha nini hasa anaposema anawahakikishia yeye binafsi kuwapa ‘favourable incentive’ wakati nchi ina sheria za kuvutia uwekezaji.

Huyu mama ni tatizo she doesn’t know what mess she is inviting, tayari tumeshaingizwa chaka kwenye LNG; sasa anatengeneza matatizo mengine.

Unavutia wawekezaji kwa sababu ya kuleta FDI yeye anawaambia mabank yetu yawape hela wakati wawekezaji wa ndani awana pakupata mikopo iliyo na riba ndogo.

Sisi tunataka waje wafungue mabank kwa hela zao, watoe riba nafuu kuongeza ushindani sokoni, watanzania wapate mitaji; not vice versa waje kugombania mikopo ya biashara na watanzania.
 
Idiot! elimika kwanza! beit al ajaib ilijengwa na waarabu wa Oman. lakini haikuwa ikulu ya mfalme enzi zile. plus kama unaijua zanzibar kweli ungelijua kuwa beit el ajaib haipo kwa sasa, jumba limeanuka kwa kutoweza kutunzwa na serikali zenu za zanzibar na danganyika.
Cha ajabu lakini mama bado anatumia jengo liloanguka kwa maendeleo yenu Tanganyika., hakupeleka mkuki wala kipande ngozi ya chui jike
 
Back
Top Bottom