Kwanini Rais Samia ametoa zawadi hii katika ziara yake Oman?

Kama baada ya miaka 60 ya uhuru nchi iko hivi, wakati wa mkoloni ilikuwa je?
 
Hii zenj yangu haitarudi kwa mwarabu, wabaki kufurahia picha tu........
 
Picha limeanza..nisha lewa..picha limeanza nisha changanyikiwa.

Itakua maandalizi ya sultani kurejea zenji.

Wamemtangulizia picha ya ikulu atakayofikia.

#MaendeleoHayanaChama
Idiot! elimika kwanza! beit al ajaib ilijengwa na waarabu wa Oman. lakini haikuwa ikulu ya mfalme enzi zile. plus kama unaijua zanzibar kweli ungelijua kuwa beit el ajaib haipo kwa sasa, jumba limeanuka kwa kutoweza kutunzwa na serikali zenu za zanzibar na danganyika.
 
Kila siku walikuwa wakitwambia CUF na hasa Maalim Seif RIP anataka kumrejeaha Sultan wakati wao wanazingua hadi chumbani kwa Sultan.CCM na hasa rais wa Sasa wa muungano na yule wa Zanzibar huenda wakazifuta siasa za chuki na ubaguzi.
 
Nenda kalale chato hakuna namna,chuki zenu hamtoweza kuzificha bt mkubali tu yule iblis mal uun ameshakwenda kuzimu na hatorud kamwe
 
Cha ajabu lakini mama bado anatumia jengo liloanguka kwa maendeleo yenu Tanganyika., hakupeleka mkuki wala kipande ngozi ya chui jike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…