Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Anaupiga mwingi, hao wanaomlinda ni msoga gang, wanamlinda dhidi ya sukuma gang.

Mauaji na kupotezwa kwa watu yameshamiri sana siku za hivi karibuni, labda na yeye anahofia!

Ingawa nasikia wafuasi wake wanasema wana amani ya moyo eti hakuna tena vitisho wala watu kupotea, nadhani watu ktk hii nchi ni kina Ben tu
 

Hahahaha hapa hao walinzi karibu wote ni wazanzibari![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…