Yule aliyemtangulia licha ya kulindwa na makomandoo lkn alikufa.Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule aliyemtangulia licha ya kulindwa na makomandoo lkn alikufa.Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
@Nyani Ngabu atakuwa amekuelewa vizuri.Kitendo cha Samia kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja na ataendeleza kila kitu cha Magufuli kiliwauma mno timu gaidi kwa hiyo lazima tumlinde rais wetu.
Hata wewe utakufa.Yule aliyemtangulia licha ya kulindwa na makomandoo lkn alikufa.
wewe uliziona kwa mama?Kwani zile helicopters sasa hivi hazipo kwenye msafala
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Ni kwasababu nchi yetu ni masikiy hatuna mitambo maalumu MingiKwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Hii inategemea eneo alilopo na tathmini ya hali ya kiusalama ya eneo husika.....hivyo kuhitimisha kuna walinzi wengi kwa 'scenario' moja tu sio sahihi.Walinzi ni wengi zaidi ya wale wa Magufuli.
Na Hiki ndicho ulichotaka kusema.Walituambia Magufuli alikuwa anajipangia.
Wabongo noma. Mnashindwa ''kumsoma'' mwanzisha thread mnakimbilia kuandika ugoro! BTW hizi ni mbwembwe za kuwachota wananchi akili ili wawaone viongozi na uongozi kama mamlaka yenye nguvu. Nothing more! Hata wao wanajua kama kuna tishio kwa rais basi siyo kwa njia ya direct attack ya kuzuia na bunduki.Kwa hiyo unataka alindwe kwa panga na visu? Huyu ni Rais siyo Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Kazuramimba.
Respect our president hata kama huafiki itikadi yake you monkey
Mwendazake na helkopta juu pia zilikuwa zinapita kila aelekeako., mama ata hana presha mlinzi wake mwanamke mwenzake na nadhan labda atakuwa na kabastola tu
Mnayakuza sana mambo ili kuwaweka raia kwenye hali ya sintofahamu.Tanzania inazidi kuwa nchi ya “intrigues”. Hasa baada ya mwendazake mambo yanazidi kwenda kimafiosi.
Kiujumla, viongozi by design, wanazidi kuwaogopa wananchi wao. You surely need not ask why.
Halafu kumbuka zile tetesi za awali kuwa kuna “genge” la watu ambalo halikutaka mama akalie hicho kiti hadi intervention ya CDF. Then vile vichokochoko vya “serikali ya mpito” na vineno neno vya “hatagombea 2025”.
Hakuanza na ulinzi modeli hiyo lakini, apparently, watu fursa wakamtonya asifanye ujinga. Siasa is grave business. Ana tishio kila kona hasa huko kwa wavaa kijani wenzake. Ustaarabu wa kikojani hautakiwi kabisa.
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Mbona kwa Magu mlisema ni kwa vile diktetaShe is a president,umeshawahi kuona Nyuki wanavyokuwa makini na malkia wao...
Kwa hivo huyu ni dikteta zaidi ya Magu?Walinzi ni wengi zaidi ya wale wa Magufuli.
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Kwahiyo Nyani Ngabu ni timu jini kisirani (a.k.a jiwe)?Nilikua na kuelewa sana ila sasa ni kama huamini mtangulizi wake amefariki, kila raisi ana protocols zake alindwe asilindwe sioni tatizo
Si mlisema huyu ni tofauti?Ule umagufulification bado upo na utachukua muda kuondoka. Pia wakuu wa vyombo vya ulinzi wanajipendeza kwa Rais kutafuta fadhila za uteuzi katika nafasi za kisiasa.