The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Jibu ni moja tu na rahisi: Ni kwa sababu ya HOFU YA KIFO.....!!
Maana aikanyagae HAKI hatakuwa na Amani. Anaweza kuogopa hata kivuli chake mwenyewe maana imeandikwa hivi...;
Mithali 28: 1
"....Waovu (wasiotenda haki) hukimbia hata wasipofuatiwa na mtu (wamejawa na hofu na mashaka kwa sababu zisizokuwepo); Bali wenye HAKI ni majasiri kama simba...."
Samia aupate wapi ujasiri maana HAKI kwake ni msamiati mgumu...?