The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tanzania kisiwa cha amani.... Rais alitakiwa kutuonyesha kwa vitendo.Anaupiga mwingi, hao wanaomlinda ni msoga gang, wanamlinda dhidi ya sukuma gang.
Mauaji na kupotezwa kwa watu yameshamiri sana siku za hivi karibuni, labda na yeye anahofia!
Ingawa nasikia wafuasi wake wanasema wana amani ya moyo eti hakuna tena vitisho wala watu kupotea, nadhani watu ktk hii nchi ni kina Ben tu