Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

SSH alivyoingia madarakani alikuwa humble,tatizo lilianza alipoanza kuzitambua nguvu alizonazo kama Rais!

"if you want to test the man's character,give him power"
But She is her not him! Wataalamu wa kutems yai, kagua hiyo sentensi kama ipo sawa.
 
Mmh acha mambo yako huo ulinzi upo hivyo siku zote. Kuna vitu ni vya kutetea na Kuna vingine vipo wazi.
Binafsi Sina shaka na ulinzi wowote.
Mwacheni mama afaidi matunda ya muungano, mwendazake hamukuwahi kuhoji
 
Huwa zipo mbili. Wanajeshi, askari wa kawaida hadi mgambo. Achilia mbali hao wenye kuvaa kiraia na usalama. Ulinzi wa Samia ule wa Maghufuli cha mtoto.
Mwendazake hamukuwahi kuhoji., mwachaen mama afaidi matunda ya muungano
 
Kwani mnataka asijilinde ili iweje?

Mbona wengine hapa mnapanga ndoo na viti nyuma ya mlango ili mtu akigusa mlango ushtuke?

Wengine mna milango zaidi ya mitatu kisa ndani una laki 5 unahofia usalama..

Kujilinda ni haki ya kila mtu na ipo kisheria. Pia kiongozi kulindwa ni haki yake kikatiba, kinyume chake ni uhaini.
 
Preventative protection. Presence ya ulinzi kupita kiasi inapunguza uwezekano wa tukio baya kutokea kutokana na hofu kwa watu. Its very effective.

Same thing unavyoona ukienda benki ama wabeba hela wana zile bunduki kubwa shotgun na AK 47. Ni ngumu kufikiria kuiba kwani silaha zinatisha. One of the reasons toka kuanza kwa ulinzi wa namna hii wizi katika mabenki wa silaha umepotea kabisa ukilinganisha na early 2,000s
Umenifundisha jambo kubwa sana

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom