Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Kwanini Rais Samia analindwa na mabunduki mengi hivyo?

Mwendazake na helkopta juu pia zilikuwa zinapita kila aelekeako., mama ata hana presha mlinzi wake mwanamke mwenzake na nadhan labda atakuwa na kabastola tu
Tuseme hata hiyo video hujaangalia?
 
Kwa hiyo unataka alindwe kwa panga na visu? Huyu ni Rais siyo Mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Kazuramimba.

Respect our president hata kama huafiki itikadi yake you monkey
Mbona kwa Magu ulisema kwa vile ni dikteta?
 
Ufinyu wa fikra uliwafanya wameze porojo za akina kigogo kuwa Magufuli ni dikiteta na hafai leo yaliyotokea zama za magufuli wanayapaka rangi kisa kigogo anaunga mkono mabadiliko yaani ni heli ukose vyote sio akili damn!
Ukiwa na chadema akili unamkabishi lisu
 
Kipindi cha Magufuli Kuna Kisanduku cha First Aid tuliambiwa. Akikishika Huyo Jamaa kwa Sababu Mzee alikuwa anaumwa. Sasa Nakiona Pia kwa Mama Hapo.

Hahahaha pia walisema ni sanduku la kubeba hela za kugawa kwa sababu ya ushamba wake....Hakika time tells a lot about people [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?

Anaogopa nini? Anamwogopa nani?


Hawa wote wako hivyo, nakumbuka hata mtangulizi wake ilikuwa zaidi ya hivi. Wewe umesema mabunduki aliyepita yalikuwepo mabunduki siyo mbili Kama kwenye video hiyo,Kama kumi hivi na helkopta juu. Kwa ujumla ni tofauti na awamu zingine zote zilizopita.
 
Back
Top Bottom