The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Tanzania kisiwa cha amani.... Rais alitakiwa kutuonyesha kwa vitendo.Anaupiga mwingi, hao wanaomlinda ni msoga gang, wanamlinda dhidi ya sukuma gang.
Mauaji na kupotezwa kwa watu yameshamiri sana siku za hivi karibuni, labda na yeye anahofia!
Ingawa nasikia wafuasi wake wanasema wana amani ya moyo eti hakuna tena vitisho wala watu kupotea, nadhani watu ktk hii nchi ni kina Ben tu
Hayo makundi yapo, lakini hakuna Sukuma gang.Vipo, factions within CCM zipo na hizijaanza awamu hii bali zilikuwepo since way back.
Huwa zinajiunda kulingana na rais aliyepo madarakani, hata ukicheki cabinet ya Samia amelenga wale anaoamini ni 'watu wake'.
Magu naye alikuwa na click yake huku timu 'Msoga' na akina Kinana na Makamba wakiwa a different faction within CCM, hayo mambo huwa yapo ni kila kundi kupigania interests zake.
Anawashwa
Ule mkoa alioenda kuna baadhi machizi ndio maana ulinzi ukaimarishwaKwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Kwa kuwa unajua uwepo wa makundi basi moja ya hayo makundi ni Sukuma gang, kukataa kwako uwepo wa hilo kundi ni either haulifahamu(which I doubt) au wewe ni mmoja wapo hivyo hautaki ukweli ujulikane au labda tu wewe ni shabiki wa hilo kundi hivyo ungependa lisiwe exposed wakati likiendesha njama zake 'chafu' dhidi ya bibie huyu aliyepo kwenye usukani.Hayo makundi yapo, lakini hakuna Sukuma gang.
Wakina nani hao walisema,mbowe tu ana makomandoo wake!Walituambia Magufuli alikuwa anajipangia.
Vipi tena huko uliko wewe baba yako mpendwa huwa analindwa na nini, na mapanga?Kwa nini huyu mama yenu mpendwa analindwa na askari wengi wenye mabunduki kama ilivyokuwa kwa dikteta Magufuli?
Anaogopa nini? Anamwogopa nani?
Na inategemea kama ume cross redline za deep state wanakuondoa tu. Mifano ipo mingi dunianiUlinzi unapunguza risk tu za watu kukuondoa ,watu wakiamua wanakuondoa tu hata ungelindwa na Dunia nzima.
Mwendazake na helkopta juu pia zilikuwa zinapita kila aelekeako., mama ata hana presha mlinzi wake mwanamke mwenzake na nadhan labda atakuwa na kabastola tu
Nani hajui hilo?Bodyguard lazima awe mwanamke kama anaemlinda ni wa kike. Huyu huwa ndo first responder kwa lolote litakalomkuta muheshimiwa.
Pia Bodyguard sio tu ana mafunzo ya Jeshi (kupambana) bali pia ana mafunzo ya Biology na utabibu.
Hivo kama muheshimiwa ni wakike, lazima alindwe na muheshimiwa mwanamke.
Ok, hebu nielekeze basi, hiyo ni nini? Kikundi cha wasukuma walioko CCM au ni nini?Kwa kuwa unajua uwepo wa makundi basi moja ya hayo makundi ni Sukuma gang, kukataa kwako uwepo wa hilo kundi ni either haulifahamu(which I doubt) au wewe ni mmoja wapo hivyo hautaki ukweli ujulikane au labda tu wewe ni shabiki wa hilo kundi hivyo ungependa lisiwe exposed wakati likiendesha njama zake 'chafu' dhidi ya bibie huyu aliyepo kwenye usukani.
Si kwamba wote ni Wasukuma, ila ni wale pro-Jiwe ambao majority na waanzilishi ni Wasukuma. Bashiru na Jobu si Wasukuma lakini ni miongoni mwa hiyo clique.Ok, hebu nielekeze basi, hiyo ni nini? Kikundi cha wasukuma walioko CCM au ni nini?
Ok, kwa hiyo hao pro Jiwe wameunda kakikundi wanakutana na kupanga ratiba na mikakati au wana opareti vipi hao Sukuma gang, Ni kama secret society au wanaendesha mambo yao kwa uwazi?Si kwamba wote ni Wasukuma, ila ni wale pro-Jiwe ambao majority na waanzilishi ni Wasukuma. Bashiru na Jobu si Wasukuma lakini ni miongoni mwa hiyo clique.