Kwanini Rais Samia anatumia ndege za ATCL kwa safari zake hata fupi badala ya ndege ya Rais?

Ndege za Serikali, ATCL haina ndege hata moja, watu mbona hamuelewi
Wewe ndio huelewi. Serikali imewapa atcl kwa mkopo kwa hivyo ziko chini ya atcl. Haistahili serikali kutumia kama mali yake ila kwa kukodi. Hata hivyo kinachoongelewa hapa ni matumizi mabaya ya rais ya ndege kubwa kwa safari fupi.
 
Wakuu napenda kujua kwa nini Mheshimiwa Rais Mother wetu anatumia ndege za ATC badala ya ndege ya Rais Gulf stream iliyonunuliwa awamu ya Tatu?
 
Dakika 1.5 mpaka ya 7.45 kuna nyama ingawa mchuzi upo juu. Ukiwa mbunifu huwezi kupata shida kuendesha mambo tumpe muda.
 
Hivi Malawi wana uwanja wa ndege kubwa kama airbus yetu kutua? Mi nadhani unatua kwanza Botswana au namibia halafu unavuka na gari Malawi. Mimi nilijua ni hizi cassena ndege za umwagiliaji wa pembejeo ndo zinaweza kutua Malawi.

barafu

Acha dharau Mkuu si vizuri.
 
ATCL hawana ndege...

Hizo ndege zote ni mali ya serikali, ATCL kafanya kuazimwa tu aziendeshe kibiashara...
 
Ana Eva ujumbe wa watu 100, ni mzanzibari Hana uchungu wowote. That is the Presidential Jet. 15 years ya makodi na waste, kazi iendeleee
 
ATCL hawana ndege, hizo ndege ni mali za serikali kupitia TGFA, ATCL wanakodishwa tu. Tuelewe ndege ya Raisi iiyonunuliwa kipindi cha Basil Pesambili Mramba Gulfstream G550 nayo ni mali a TGFA uofauti wake na zingine mnazoita za ATCL ni muonekano wa rangi tu na daraja iliyopewa yaani namba 5H-ONE ndege ya kiongozi Mkuu wa nchi. Sioni tatizo Raisi kutumia ndege za TGFA wakati ATCL wamekosa business plan ya kuweza kuitumia ndege hiyo kwa ukamilifu ili waweze kumudi gharama za kuikodi kutoka TGFA.

Hizo nyingine pia zina namba
5H-TCA
5H-TCB
5H-TCC
5H-TCD
5H-TCE
5H-TCF
5H-TCG


Cha kuongelea hapa nadhani ni oparation cost ya kutumia ndege kubwa Airbuss 220-300 au Gulfstream G550


 
Anasafiri na team ya bonanza.... Ile ndogo haitoshi....
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…