Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Fanya tafiti zako kwa umakini utagundua kwamba haya unayosema haya ukweli wowote. Dunia nzima inatambua na kuona namna gani Rais Samia Suluhu ameivusha Tanzania kutoka hatua moja kwenda nyingine na kila siku Mama ni yuko kazini na kazi inaendelea...Mama Abduli ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya SADC ya ulinzi na usalama.
..lakini ukimlinganisha na watangulizi wake katika nafasi yao utaona kwamba Mama Abduli amepwaya sana.
Fanya tafiti zako kwa umakini utagundua kwamba haya unayosema haya ukweli wowote. Dunia nzima inatambua na kuona namna gani Rais Samia Suluhu ameivusha Tanzania kutoka hatua moja kwenda nyingine na kila siku Mama ni yuko kazini na kazi inaendelea.
Hebu fafanua wengine wapate faida......watangulizi wake walifanya nini...mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...hoja yako ni mchango wa Mama Abduli ktk SADC na EAC na mahsusi mkutano uliomalizika juzi.
..Ndio nikakwambia Mama Abduli ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi, usalama, na siasa ya SADC.
..sasa ukiangazia mchango na uongozi wake katika nafasi hiyo na challenges ambazo nchi wanachama wanapitia utaona kabisa kwa amepwaya.
..tafuta michango ya watangulizi wake ktk nafasi hiyo na pale jumuiya ilipokutwa na changamoto walichukua hatua gani.
..haiwezekani mwanachama wa SADC anavamiwa halafu Mwenyekiti wa troika ya ulinzi na usalama anaenenda kama anavyofanya Mama Abduli.