Kwanini Rais Samia EAC na SADC?

Kwanini Rais Samia EAC na SADC?

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Rais Samia Suluhu ameaminika na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kuwa mwenyeji wa kikao cha usuluhishi kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda kwa sababu kadhaa muhimu:

1. Uhusiano wa Kijadi wa Tanzania kama Nchi Isiyoegemea Upande Wowote

2. Uongozi wa Rais Samia na Diplomasia ya Kati

3. Tanzania Kama Eneo Salama na Lenye Ushawishi Kwenye Ukanda

4. Mchango wa Tanzania Katika SADC na EAC

5. Uungwaji Mkono wa Kimataifa
 
Attachments

  • 3 (5).jpg
    3 (5).jpg
    586.6 KB · Views: 2
..Mama Abduli ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya SADC ya ulinzi na usalama.

..lakini ukimlinganisha na watangulizi wake katika nafasi yao utaona kwamba Mama Abduli amepwaya sana.
 
Fanya tafiti zako kwa umakini utagundua kwamba haya unayosema haya ukweli wowote. Dunia nzima inatambua na kuona namna gani Rais Samia Suluhu ameivusha Tanzania kutoka hatua moja kwenda nyingine na kila siku Mama ni yuko kazini na kazi inaendelea.
 
..hoja yako ni mchango wa Mama Abduli ktk SADC na EAC na mahsusi mkutano uliomalizika juzi.

..Ndio nikakwambia Mama Abduli ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi, usalama, na siasa ya SADC.

..sasa ukiangazia mchango na uongozi wake katika nafasi hiyo na challenges ambazo nchi wanachama wanapitia utaona kabisa kwa amepwaya.

..tafuta michango ya watangulizi wake ktk nafasi hiyo na pale jumuiya ilipokutwa na changamoto walichukua hatua gani.

..haiwezekani mwanachama wa SADC anavamiwa halafu Mwenyekiti wa troika ya ulinzi na usalama anaenenda kama anavyofanya Mama Abduli.
 
Hebu fafanua wengine wapate faida......watangulizi wake walifanya nini...mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Back
Top Bottom