Kama huna taarifa usipende kuongea hasa ktk public. Sasa tumia hii simu uliyoandikia hii hoja fake kuona Mhe. Rais alimtembelea lini Mzee Lowassa.🙏🙏🙏Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa maswala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowasa(waziri mkuu mstaafu).
Je, ni lini Rais Samia atamjulia hali mzee Lowasa kama anavyofanya kwa viongozi wengine?
Asanteni
Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa maswala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowasa(waziri mkuu mstaafu).
Je, ni lini Rais Samia atamjulia hali mzee Lowasa kama anavyofanya kwa viongozi wengine?
Asanteni
Natumaini umejibiwa!.MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KUMJULIA HALI LOWASSA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika ya Kusini.
Akizungumza na wanafamilia kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salaam za pole kutoka kwa Mheshimiwa Rais na kusema Mheshimiwa Rais anafuatilia hali ya Mheshimiwa Lowassa kwa ukaribu na anamuombea afya njema.
Waziri Mkuu ametoa salamu hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2022) jijini Johannesburg, Afrika Kusini ambako alienda kumjulia hali Mheshimiwa Lowassa.
Kwa upande wake, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Mama Regina Lowassa amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa jinsi ambavyo amekuwa karibu na wanafamilia na namna ambavyo anafuatilia matibabu ya mpendwa wao.
Naye mtoto mkubwa wa Mheshimiwa Lowassa na Mbunge wa Monduli, Bw. Fredrick Lowassa amewashukuru Watanzania kwa maombi yao ya kumtakia afya njema baba yao.
View attachment 2461149
Jibu unalo.....alishaenda na juzi PM kamuwakilishaMheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa maswala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowasa(waziri mkuu mstaafu).
Je, ni lini Rais Samia atamjulia hali mzee Lowasa kama anavyofanya kwa viongozi wengine?
Asanteni
Why,Kwanza wanaombea atwaliwe kabisa
Rais alienda lini?Jibu unalo.....alishaenda na juzi PM kamuwakilisha
Madhara ya Lowasa ni base aliyoitengeneza na atakayoiacha ndani ya CCM. Hii itaisumbua CCM muda wote. Lowasa alienda UKAWA na wafuasi, sio wanachama. Kina nchimbi ni wafuasi wa Lowasa ila ni wanachama wa ccm.Why,
Kwa sasa hana madhara yoyote.
Rais alimuona akiwa Dar SA katumwa PMRais alienda lini?
Yaani tusipate taarifa ya Rais kwnda huko, kweli?
Watajuana wenyewe mafisadiWhy,
Kwa sasa hana madhara yoyote.
Wahafidhina mpo?Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa maswala kadhaa ya uongozi.
Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowasa(waziri mkuu mstaafu).
Je, ni lini Rais Samia atamjulia hali mzee Lowasa kama anavyofanya kwa viongozi wengine?
Asanteni