Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

Aliyemtuma atajibu hoja za Serikali, maana Serikali ni moja.
kwani si nyinyi ndiyo munamuwajibisha kwa kusema kuwa alikuwa makamu kwa hivyo alikuwa anashiriki kwenye decisions zote? Sasa yupo makamu wake kwani kosa liko wapi nayo ni serikali ile ile?
 
Natafakari Mei Mosi ya jana sijaielewa kabisa.

Hivi wale WADUDU ni waajiriwa wa wapi?
 
Watu wengine bwana hujaulizwa wewe ila unatililika kama vile wewe ndiye uliyeulizwa swali. Hi suala la uchawa sasa limefikia mahali pabaya sana, mpaka kwenye mambo ya msingi. Mtoa hoja kauliza maswali ya msingi. Haya sasa unasema mwakilishi atayajibia hayo maswali sikukuu imeisha je yalijibiwa. Wakati mwingine kukaa kimya ni jibu.
Ni kweli.
 
Wafanyakazi wamesema hawana shida kwa sasa
 
Back
Top Bottom