peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
4R ni sawa na Kilimo kwanza ya JKWataalam wa acurial science wanachambua suala la kikokotoo watashauri tuwe wapole na wastahimilivu as per 4 R
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
4R ni sawa na Kilimo kwanza ya JKWataalam wa acurial science wanachambua suala la kikokotoo watashauri tuwe wapole na wastahimilivu as per 4 R
kwani si nyinyi ndiyo munamuwajibisha kwa kusema kuwa alikuwa makamu kwa hivyo alikuwa anashiriki kwenye decisions zote? Sasa yupo makamu wake kwani kosa liko wapi nayo ni serikali ile ile?Aliyemtuma atajibu hoja za Serikali, maana Serikali ni moja.
ulikuwepo?Kilaza yule kwanza muoga sana.Yaani kipindi kile Magufuli akiwa Rais ,Magufuli akichachamaa Samia anatoa machozi hadi alitaka kujiuzulu.Bora angejiuzulugu tu.
Kunywa maji mwanangu.ulikuwepo?
ndiyo uzushi wenyewe huo unashindwa hata kuujibuKunywa maji mwanangu.
Ni kweli.Watu wengine bwana hujaulizwa wewe ila unatililika kama vile wewe ndiye uliyeulizwa swali. Hi suala la uchawa sasa limefikia mahali pabaya sana, mpaka kwenye mambo ya msingi. Mtoa hoja kauliza maswali ya msingi. Haya sasa unasema mwakilishi atayajibia hayo maswali sikukuu imeisha je yalijibiwa. Wakati mwingine kukaa kimya ni jibu.
Wa ccm.Natafakari Mei Mosi ya jana sijaielewa kabisa.
Hivi wale WADUDU ni waajiriwa wa wapi?