Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kilikuwa ni kikao cha viongozi wa dini kuombwa na dada yake Kayafa kuwa wasiunge mkono juhudi za katiba mpya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka na chakula cha mchana wale kwenye TV live?Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.
Wote nadhani mmeona baada ya kila kitu kumbe kukawa na kikao kingine cha Rais Samia na haohao maaskofu hapohapo ukumbini.
Kikao hiki wote tumeambiwa ni siri, tena wale wenye ruhusa ya kusikiliza siri za rais kama alivyosema Padri Kitima, katibu wa TEC.
Jamani nimejiuliza na nyinyi tujiize. Siri gani tena kati ya maaskofu katoliki na Rais?
Kama ni siri si wangekutana kisiri ikulu bila kufanya kama jana nusu hadharani nusu kisiri?
Hebu tusaidieni wataalamu humu wa kudadisi na kufukunyua ukweli.
Kama ni cha siri ulikiona vipi?Wote tuliona hadi hotuba zote za Rais na maaskofu jana walipokutana pale Kurasini, TEC.