Kwanini Rais Samia na Baraza la Maaskofu (TEC) walikuwa na kikao cha siri?

Kilikuwa ni kikao cha viongozi wa dini kuombwa na dada yake Kayafa kuwa wasiunge mkono juhudi za katiba mpya.
 
Kama ni siri atuwezi kujua zaidi ya kupiga ramli kama hizi"Labda kikao cha siri cha kumshawishi mama apokee ubatizo awe mkristo.
 
Ulitaka na chakula cha mchana wale kwenye TV live?
 
Kama ni cha siri ulikiona vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…