Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

Kwanini Rais Samia Suluhu anasafiri?

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2022
Posts
270
Reaction score
362
Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu.

Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za Afrika. Sababu ya watu kuwa na nongwa juu ya safari anazofanya Rais Samia zinatokana na tabia aliyokuwa nayo mtangulizi wake. Kama mtangulizi wake ingekuwa ni mtu wa kusafiri sana, pengine isingekuwa ajabu kwa Rais Samia Suluhu.

Ila swali la msingi hapa ni kwa nini Rais Samia Suluhu husafiri mara kwa mara, na je safari hizo za nje zina faida?

Ukisoma andiko la Going Global: Assessing Presidential Foreing Travel lililoandikwa na Amnon Cavari na Micah ables utaelewa zaidi kwanini huwa viongozi hasa maraisi husafiri na faida zake ni zipi. Hapa nitakupa kwa uchache.

Sababu ya kwanza, ili kuimarisha mahusiano ya kirafiki, kiuchumi na kuimarisha pia ulinzi wa taifa lako, kuna wakati ni lazima Rais asafiri na afanye kitu kinatwa 'Face to Face Diplomacy'. Mfano, Rais Samia Suluhu alisafiri kwenda Uganda May 10, 2020 na moja ya mikataba iliyofungwa huko, ilikuwa ni mikataba ya kuimarisha ulinzi wa mataifa mawili, Tanzania na Uganda.

Kutafuta mikopo nafuu (concessional loans). Rais Samia Suluhu aliposafiri kwenda makao makuu ya Umoja wa Ulaya Ubelgiji Februari 16, 2022, kule alipatiwa mikopo nafuu ambayo kwa hakika, si aina ya mikopo ambayo kila nchi ina nafasi ya kupatiwa. Mikopo hii haina masharti magumu, haina riba kubwa na hutumia muda mrefu kurudisha fedha. Mikopo hii ni muhimi sana kwa ajili ya kuimarisha huduma za kijamaa nchini.

Kuleta wawekezaji nchini. Mwekezaji akizungumza na Balozi wa Waziri haina uzito mkubwa kama ambapo ataongea na Raisi. Rais ndio Top Diplomat kwenye nchi yeyote. Mwekezaji akipa guarantee ya Rais nchini ni rahisi sana kwa mwekezaji huyo kuja nchini na kufanya uwekezaji. Mfano, Rais Samia Suluhu alipokwenda Marekani April 14, 2022 kule aliweza kuleta uwekezaji wa USD 1 billion (2 trillion shillings) nchini.

Katika wakati kama huu ambao dunia inakumbwa na janga la uhaba wa nishati ya mafuta, safari ya Rais Samia Suluhu Oman ilikuwa na umuhimu mkubwa sana kwa Tanzania. Omani ni mzalishaji wa 21 wa mafuta duniani, inazalisha pipa milioni moja kwa siku. Tanzania ilisoma mazingira ya kidunia na kuona kwamba vita ya Urusi na Ukraine inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kwisha na tukazidi kuteseka na bei ya mafuta.

Raisi alikwenda kule na Waziri wa Nishati, January Makamba, kwanini? Kule Rais alikwenda kuweka mazingira mazuri ya Tanzania kupata mafuta kwa urahisi wakati dunia inakumbwa na jambo hilo. Rais Samia Suluhu ana watu wanayoisoma dunia na kumshauri cha kufanya kutokana na hali halisi ili kunusuru uchumi wa taifa letu.

Rais Samia Suluhu alikwenda Kenya, Tanzania na Kenya ziliondoleana vikwazo vya kibiashara ambavyo vilisababishwa wakati wa utawala wa John Pombe Magufuli.

Ni lazima Rais asafiri kurejesha imani ya wawekezaji. Pasi na kumumunya maneno, Rais Samia Suluhu alichukua nchi ikiwa na hali mbaya sana hasa kwenye uhusiano wa kimataifa. Haina budi Rais Samia kusafiri sana kusafisha hatua mbaya za mtangulizi wake. JPM alizokorofisha nchi tajiri, zikaacha kutoa misaada na wawekezaji wao kuanza kususa kuja Tanzania. Hii ni awamu ya Samia Suluhu sasa, ili mambo yamwendee sawa, ni lazima atoke kuweka mambo sawa.

Niseme tu, safari za Rais Samia Suluhu zimekuwa na faida nyingi sana kwa Tanzania. Safari za Rais Samia Suluhu zimelutea mikopo nafuu, zimetuletea wawekezaji na pia ujenzi wa miundombinu ya bure kabisa, mfano Uwanja wa Ndege wa KIA na serikali ya Oman. Hivyo basi, Rais akisafiri, mnapaswa kumwombea dua arejee salama kwani ametoka kwenda kutupigania.
 
Safari nyingi ni za kiwaki tu.
Hazina tija Hadi ifike 2025 safari zitafiki 5000

Wiki nchini wiki nje ya nchi

Akili zangu za kawaida tu
 
Lazima tujifunze kuwa na hoja za msingi tukitaka kuzungumzia jambo. Sidhani kama unajitendea haki kujadili suala kama hili kwa kutumia akili za kawaida. Kwenye andiko langu nimetoa faida za Rais Samia Suluhu kusafiri nje ya nchi. Hebu onesha safari moja tu ambayo Rais Samia Suluhu amefanya nje nchi na haikuwa na faida, mimi nitakufa faida yake.
 
Wenye akili za funza kuingia ndani ya mwili wa adui watakuelewa kweli?
 
Anasafiri maana aliwai sema akimiss hali ya kibaridi baridi basi atasafiri kwenda sehemu yenye baridi akalale vizuri mfano dodoma na ulaya
 
Aliwahi kusema wapi, tafadhali share chanzo cha hadithi yako.
 
Nasubili sababu ya pili na tatu..... Nitarudi ku comment.
 
Anapata mialiko kwa nini asisafiri?
Unaweza ukaandika sana ili ku justify ila kwa ufupi ni kuwa anasafiri kwa sababu anapokea mialiko. Na kama mkuu wa nchi lazima atuwakilishe kwenye mikutano na makongamano ya kimataifa.
 
Kabisa.
 
Naam mkuu. Haina haja ya kujengea hoja vitu ambavyo ni obvious. Tena angekuwa hawakilishwi na Dr. Mpango na Dr. Mwinyi angekuwa anaconnect angani tu.
Kuwa mkuu wa nchi ni pamoja na kutuwakilisha kwenye jumuiya za kimataifa pamoja na nchi marafiki.
Cha msingi aingie makubaliano yenye maslahi ya taifa.
Kujadili safari za mkuu wa nchi ni utoto na ujinga. Hiyo ndio kazi yake kwenda huku na kule kuangalia fursa na kupata exposure pia.
Bandiko lako limejaa uchawa mwingi kuliko uhalisia. Tumuache mama atimize majukumu yake.
 
Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu.

Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za Afrika. Sababu ya watu kuwa na nongwa juu ya safari anazofanya Rais Samia zinatokana na tabia aliyokuwa nayo mtangulizi wake. Kama mtangulizi wake ingekuwa ni mtu wa kusafiri sana, pengine isingekuwa ajabu kwa Rais Samia Suluhu.

Ila swali la msingi hapa ni kwa nini Rais Samia Suluhu husafiri mara kwa mara, na je safari hizo za nje zina faida?

Ukisoma andiko la Going Global: Assessing Presidential Foreing Travel lililoandikwa na Amnon Cavari na Micah ables utaelewa zaidi kwanini huwa viongozi hasa maraisi husafiri na faida zake ni zipi. Hapa nitakupa kwa uchache.

Sababu ya kwanza, ili kuimarisha mahusiano ya kirafiki, kiuchumi na kuimarisha pia ulinzi wa taifa lako, kuna wakati ni lazima Rais asafiri na afanye kitu kinatwa 'Face to Face Diplomacy'. Mfano, Rais Samia Suluhu alisafiri kwenda Uganda May 10, 2020 na moja ya mikataba iliyofungwa huko, ilikuwa ni mikataba ya kuimarisha ulinzi wa mataifa mawili, Tanzania na Uganda.

Kutafuta mikopo nafuu (concessional loans). Rais Samia Suluhu aliposafiri kwenda makao makuu ya Umoja wa Ulaya Ubelgiji Februari 16, 2022, kule alipatiwa mikopo nafuu ambayo kwa hakika, si aina ya mikopo ambayo kila nchi ina nafasi ya kupatiwa. Mikopo hii haina masharti magumu, haina riba kubwa na hutumia muda mrefu kurudisha fedha. Mikopo hii ni muhimi sana kwa ajili ya kuimarisha huduma za kijamaa nchini.

Kuleta wawekezaji nchini. Mwekezaji akizungumza na Balozi wa Waziri haina uzito mkubwa kama ambapo ataongea na Raisi. Rais ndio Top Diplomat kwenye nchi yeyote. Mwekezaji akipa guarantee ya Rais nchini ni rahisi sana kwa mwekezaji huyo kuja nchini na kufanya uwekezaji. Mfano, Rais Samia Suluhu alipokwenda Marekani April 14, 2022 kule aliweza kuleta uwekezaji wa USD 1 billion (2 trillion shillings) nchini.

Katika wakati kama huu ambao dunia inakumbwa na janga la uhaba wa nishati ya mafuta, safari ya Rais Samia Suluhu Oman ilikuwa na umuhimu mkubwa sana kwa Tanzania. Omani ni mzalishaji wa 21 wa mafuta duniani, inazalisha pipa milioni moja kwa siku. Tanzania ilisoma mazingira ya kidunia na kuona kwamba vita ya Urusi na Ukraine inaweza kuchukua muda mrefu sana hadi kwisha na tukazidi kuteseka na bei ya mafuta.

Raisi alikwenda kule na Waziri wa Nishati, January Makamba, kwanini? Kule Rais alikwenda kuweka mazingira mazuri ya Tanzania kupata mafuta kwa urahisi wakati dunia inakumbwa na jambo hilo. Rais Samia Suluhu ana watu wanayoisoma dunia na kumshauri cha kufanya kutokana na hali halisi ili kunusuru uchumi wa taifa letu.

Rais Samia Suluhu alikwenda Kenya, Tanzania na Kenya ziliondoleana vikwazo vya kibiashara ambavyo vilisababishwa wakati wa utawala wa John Pombe Magufuli.

Ni lazima Rais asafiri kurejesha imani ya wawekezaji. Pasi na kumumunya maneno, Rais Samia Suluhu alichukua nchi ikiwa na hali mbaya sana hasa kwenye uhusiano wa kimataifa. Haina budi Rais Samia kusafiri sana kusafisha hatua mbaya za mtangulizi wake. JPM alizokorofisha nchi tajiri, zikaacha kutoa misaada na wawekezaji wao kuanza kususa kuja Tanzania. Hii ni awamu ya Samia Suluhu sasa, ili mambo yamwendee sawa, ni lazima atoke kuweka mambo sawa.

Niseme tu, safari za Rais Samia Suluhu zimekuwa na faida nyingi sana kwa Tanzania. Safari za Rais Samia Suluhu zimelutea mikopo nafuu, zimetuletea wawekezaji na pia ujenzi wa miundombinu ya bure kabisa, mfano Uwanja wa Ndege wa KIA na serikali ya Oman. Hivyo basi, Rais akisafiri, mnapaswa kumwombea dua arejee salama kwani ametoka kwenda kutupigania.
Andiko la kiwaki
 
Safari nyingi ni za kiwaki tu.
Hazina tija Hadi ifike 2025 safari zitafiki 5000

Wiki nchini wiki nje ya nchi

Akili zangu za kawaida tu
Hizi sasa ndiyo akili original za sukuma gang
 
Hawa marais wanaotokea pwani awamu zao wao ni mguu na njia .

Hizi ni tabia za watu wa pwani wao mguu na njia ,mchiriku utafuatwa toka chalinze hadi kisarawe hata kwa nguu.
Kiongozi wa Sukuma gang aliyekufa alikuwa hasafiri kwa sababu ya kutokujua lugha ya malkia
 
Back
Top Bottom