Mbna marais tu wawili ndo wamehudhuria?Hajakaribishwa! Na kama angekuwa amekaribishwa angetuma hata special delegation!
Ulitaka wangapi kipindi hiki?Mbna marais tu wawili ndo wamehudhuria?
Kwa sababu sio lazima wote waje, wengine wamewatuma wawakilishi, imagine Kama kila rais aje itakuwaje.Mbna marais tu wawili ndo wamehudhuria?
Hivi mtu ambaye anawapiga risasi na kuwaua raia wake kwa mamia kila kunapifanyika uchaguzi, utamuita mwana demokrasia?Uhuru anajitambua. He is a democrat. Hawezi kuunga mkono what happened in Tanzania. Kuna marafiki wengine ni bora kutokuwa nao karibu. Why would you like to be associated with a thief, a dictator?
Wengine waliokuja hawaogopi? alafu korona Hamna Tanzania.Anaogopa maambukizi ya virusi vya corona