cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Ingawa hawajahudhuria lakini Raisi wetu Magufuli aka jiwe kashaapishwa tayari, na hata hao maraisi wawili wasingehudhuria angeapishwa pia.Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.