Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,076
- 14,775
Hakuna siku ata moja utasikia ati mashetani wawili wamesikizana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudisha ushoga mombasani huku hatutumiiUmeshindwa kuanzisha uzi wa balozi?
Acha sisi tuendelee kupambana na mkoloni mweusi.
Wewe endelea kudanga! Ufanye nini kingine Mr. Delicious wa ukweli?
Msimtee sana huyu jiwe wenu ana matatizo makubwa na mahusiano na jamii ya kimataifa, kenya ni jirani zetu hakuna sababu yeyote ya msingi ya kutowaalika kwenye dhifa za kitaifa, kama wewe wewe una hafla nyumbani kwako halafu unamuacha jirani yako unaenda kualika mtu anaeishi nyumba ya kumi kutoka hapo kwako, huo unakuwa ni uzwazwa, msimtetee huyu mhutu muambieni ukweli ajirekebisheHajakaribishwa! Na kama angekuwa amekaribishwa angetuma hata special delegation!
Kukosekana Uhuru kumekupunguzia nini wewe?Msimtee sana huyu jiwe wenu ana matatizo makubwa na mahusiano na jamii ya kimataifa, kenya ni jirani zetu hakuna sababu yeyote ya msingi ya kutowaalika kwenye dhifa za kitaifa, kama wewe wewe una hafla nyumbani kwako halafu unamuacha jirani yako unaenda kualika mtu anaeishi nyumba ya kumi kutoka hapo kwako, huo unakuwa ni uzwazwa, msimtetee huyu mhutu muambieni ukweli ajirekebishe
Siyo kila jambo ni la kujadili tu,mnapoteza muda wa kazi za kutafuta maisha kwa maisha ya wengineToeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Umesahahu Kenya walivyotuzuia kuingia nchini mwao na kuruhusu nchi kutoka mbali, au wakati ule sisi hatukua majirani?.Msimtee sana huyu jiwe wenu ana matatizo makubwa na mahusiano na jamii ya kimataifa, kenya ni jirani zetu hakuna sababu yeyote ya msingi ya kutowaalika kwenye dhifa za kitaifa, kama wewe wewe una hafla nyumbani kwako halafu unamuacha jirani yako unaenda kualika mtu anaeishi nyumba ya kumi kutoka hapo kwako, huo unakuwa ni uzwazwa, msimtetee huyu mhutu muambieni ukweli ajirekebishe
Dah aisee Tundu ni shoga kanogewa mpaka anataka Tanzania yote iwe Sodoma na Gomorrah, Mungu kamkataa aisee 😅😅😅😅
Mkuu hii sikuisikia, kuna wageni waliokatazwa kutua hapa nchini wakati wa maziko ya Mkapa ??Ndio angetuma special delegation ila mngewakataza kuland kama vile mlifanya katika mazishi ya Mkapa.
Wajumbe kutoka Kenya waliokuja kutoa rambi rambi zao na pole zao ikiwemo seneta na wakuu wengine wa serikali waliotumwa na rais Kenyatta kumwakilisha walirudishwa wakiwa bado angani kabla ya kutua katika airport ya Tanzania.Mkuu hii sikuisikia, kuna wageni waliokatazwa kutua hapa nchini wakati wa maziko ya Mkapa?
Safii sana na jana waziri Aden alifikaje? Nadhani alipanda punda!Wajumbe kutoka Kenya waliokuja kutoa rambi rambi zao na pole zao ikiwemo seneta na wakuu wengine wa serikali waliotumwa na rais Kenyatta kumwakilisha walirudishwa wakiwa bado angani kabla ya kutua katika airport ya Tanzania.
Ila wawili tu jamani? Huoni kuna tatizo hapo?Kwa sababu sio lazima wote waje, wengine wamewatuma wawakilishi, imagine Kama kila rais aje itakuwaje.
Aii hizi utoto za nazi Germany 1940 bado zinafanyika 2020. Kujiaibisha mbele ya wageni 🤣🤣View attachment 1620360
Naona wavunja matofali leo Waliamua kubeba hadi sufuria
Criminal wa ICC aje kufanya nn kwenye nchi inayojitambua?Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku.
Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Alifanya vizuri kutokuhudhuria, na yeye angekuwa sehemu ya mchakato kupata madaraka kupitia wizi wa kura.Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku.
Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee.
It's not easy to get popular support where your victory is through fraudulent ways.Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.
Industrial revolution! Wewe itakuwa si mzima.JPM amempiga 3 bila so hana hamu naye, hasa akikumbuka SGR, HOSPITALS, AIRPORTS, PIPELINE, FREE EDUCATION, BRT, HIGH CLASS FLYOVERS, AGRICULTURE, INDUSTRIAL REVOLUTION, HAHAHAAA.