Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
 
Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Mwenyekiti wa SADC ni rais wa Mozambique.

Halafu huyo aliyevalia "likofia likubwa" ndio kawanyima lile dili la bomba la mafuta pia ndio amebeba kisiwa cha migingo.
 
Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Rais wenu yuko anazurula vatcan huko[emoji28][emoji28][emoji28]. Na hajazuia kiapo imagine[emoji1787]
 
Lkn Uhuru Kenya ndiyo Raisi pekee Dunia hii aliyedhalilishwa na kushitakiwa Hague kwa Muzungu, haijawahi kutokea tangia Dunia ianze, sitting head of state anashikwa na kuhudhiria Mahakama ina foreign country, labda demokrasia ya Kenya imezidi sana, Duh!

Raisi wa Kenya kama guiney pig kwenye Mahakama ya Muzungu in a Muzungu kantri!

View attachment 1620133
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!
 
Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku.

Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Anaogopa kuhudhuria uchaguzi wa vibaka.
 
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!

Kwahiyo alichokosea uliyemquote ni nini? Mbona una kimbelembele mpaka unasahau chupi nyuma?
 
Back
Top Bottom