pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa SADC ni rais wa Mozambique.Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Rais wenu yuko anazurula vatcan huko[emoji28][emoji28][emoji28]. Na hajazuia kiapo imagine[emoji1787]Aisee, yaani hadhi ya mwenyekiti wa SADC ni marais wawili tu? Tena mmoja wao alikuwa amevalia likofia likubwaaa! [emoji1]
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!Lkn Uhuru Kenya ndiyo Raisi pekee Dunia hii aliyedhalilishwa na kushitakiwa Hague kwa Muzungu, haijawahi kutokea tangia Dunia ianze, sitting head of state anashikwa na kuhudhiria Mahakama ina foreign country, labda demokrasia ya Kenya imezidi sana, Duh!
Raisi wa Kenya kama guiney pig kwenye Mahakama ya Muzungu in a Muzungu kantri!
View attachment 1620133
Anaogopa kuhudhuria uchaguzi wa vibaka.Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku.
Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Hii kesi Uhuru alishtakiwa kabla hajawa Rais uwe na kumbukumbu sahihi ewe kima!!