Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Hao wengine wana imani na ushujaa, uhuru ni muoga.Wengine waliokuja hawaogopi? alafu korona Hamna Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wengine wana imani na ushujaa, uhuru ni muoga.Wengine waliokuja hawaogopi? alafu korona Hamna Tanzania.
Mbona unanitukana? KQUOTE]
Hujielewi unamwita Mtu dicteta wakati kachaguliwa kihalali na Watanzania.Wetu siyo dikiteta so hawezi tangamana na madikteta Kama mgfool na m7i.
Hujielewi Magufuli ni rais Wa Tanzania kachaguliwa kihalali na Watanzania wanamkubali na atafanya kazi zake vizuri na huna cha kufanya na mtasubiri Sana Tanzania kuwekewa vikwazo.Tanzania sio nchi ya mchezomchezo tuna ushawishi mkubwa Afrika so Hakuna Wa kuiwekea vikwazo Kwanza kwenye uapishwaji Leo balozi Wa ulaya, marekani,china walikuwepo means wamamuunga mkono magufuli. Kwa hiyo acha kuota ujinga.Magufuri ataongoza kwa shida sana kipindi hiki, ICC inamsubiri mikono yake ina damu. nahisi km atajifia tu
Hakua Rais aliposhtakiwa malenge wewe.Lkn Uhuru Kenya ndiyo Raisi pekee Dunia hii aliyedhalilishwa na kushitakiwa Hague kwa Muzungu, haijawahi kutokea tangia Dunia ianze, sitting head of state anashikwa na kuhudhiria Mahakama ina foreign country, labda demokrasia ya Kenya imezidi sana, Duh!
Raisi wa Kenya kama guiney pig kwenye Mahakama ya Muzungu in a Muzungu kantri!
View attachment 1620133
View attachment 1620137
Mtu muelewa kama Kenyatta hawezi kujishughulisha na vitu vya kipumbavu
Hakua Rais aliposhtakiwa malenge wewe.
Hatutaki kabisa mahusiano na Kenya, hii miaka mitano tunaenda kukata kabisa mahusiano nanyi kama na upinzani.Hajaalikwa kwa sababu ya mijungu ya rais wenu
Hahahaha sasa mbona balozi wa US kaenda Dodoma mmeanza kumnanga huko Twittwer?
Hahahaha kuwashinda kufa njaa na kuomba misaada?Kama hayo yote yanafanyika mbona bado mna uchumi mdogo kutushinda?
Ukiambiwa utolee ushahidi juu jambo ulilosema hapa! Sijui itakuaje?Hivi mtu ambaye anawapiga risasi na kuwaua raia wake kwa mamia kila kunapifanyika uchaguzi, utamuita mwana demokrasia?,
Hahahaha sasa mbona balozi wa US kaenda Dodoma mmeanza kumnanga huko Twittwer?
Wananchi wamewakataa
Mabalozi wamewakataa
Mmebaki wajane
Sasa mbona hili takataka lenu linalialia huko mitandaoni hovyo na kumtishia maisha balozi wa watu?Hujui kuwa balozi ni mtu mdogo sana?
Kwamba balozi kaenda hawa si huwa wanakuwa summoned hata na kina wapara magamba tu?
Kwa hiyo kwa akili yenu mlikuwa na wakuu wa nchi 53?
Basi kumbe na Uhuru alikuwapo.
Alimtuma Waziri wake amuwakilishe.Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku. Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
Sasa mbona hili takataka lenu linalialia huko mitandaoni hovyo na kumtishia maisha balozi wa watu?
Hivi ninyi mnafikiri kuna kiongozi dunia hii ataacha kuongea na Magufuli aje pale kwenye zile mbavu za mbwa ufipa jalalani kumtafuta mbowe? 😅😅😅
You no body saivi, mlikua mnadeserve kidogo kipindi cha campaign, saivi ni proved failures typically.
Endelea kushangaaDuh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.
Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.